Amuache upesi. Hatakiwi kufikiri mara mbili. Kwa level ya Imani yake akikaa vibaya anajikuta mlango wa kutubu imefungwa. Dhambi ya kumkufutu Roho Mtakatifu. Aondoke hapo Leo hii hii, labda Bwana atamrehemu. Aangalie asije kuwa kama Wana wa Israel jangwani, walishuhudia yote na bado hawakuingia kwenye Raha ya sabato Kwa kutokuamini kwao. Amuache sasa hivi. Autafute uso wa Bwana sasa hivi. Shetani akijua anamtafuta Bwana atamuua ili abaki kwenye dhambi zake. Asifikirie kuhusu ndoa, ikiwa Bwana atamrehemu basi atampa ndoa. Wokovu ni zaidi ya vyote!Jamaa ametambua hilo ndio maana anataka kutubu, ila akaomba nimshauri kabla ya kumuacha huyo mama na mimi nikaja hapa kutafuta mawazo mazuri ya kumsaidia.