Mama na Baba Mchungaji Walinitega

Mama na Baba Mchungaji Walinitega

Jamaa ametambua hilo ndio maana anataka kutubu, ila akaomba nimshauri kabla ya kumuacha huyo mama na mimi nikaja hapa kutafuta mawazo mazuri ya kumsaidia.
Amuache upesi. Hatakiwi kufikiri mara mbili. Kwa level ya Imani yake akikaa vibaya anajikuta mlango wa kutubu imefungwa. Dhambi ya kumkufutu Roho Mtakatifu. Aondoke hapo Leo hii hii, labda Bwana atamrehemu. Aangalie asije kuwa kama Wana wa Israel jangwani, walishuhudia yote na bado hawakuingia kwenye Raha ya sabato Kwa kutokuamini kwao. Amuache sasa hivi. Autafute uso wa Bwana sasa hivi. Shetani akijua anamtafuta Bwana atamuua ili abaki kwenye dhambi zake. Asifikirie kuhusu ndoa, ikiwa Bwana atamrehemu basi atampa ndoa. Wokovu ni zaidi ya vyote!
 
Ushauri mzuri, Nitamfikishia
Dhambi ya kumkufutu Roho Mtakatifu.
Hakuna mahali kwenye maelezo alipomkufuru Roho mtakatifu.
 
Unataka kuRepent lini mtumishi?! Saa ya wokovu ni sasa.
Kifupi ameanza process since last week. Hapa anataka ushauri namna bora ya kumaliza hili jambo bila madhara makubwa.
 
Aliyesema ikimbie zinaa hakukosea. Ona sasa namna shetani alivyokudaka vizuri. Yupo pembeni anakucheki maana hutaki ndoa ivunjike na pia uhusiano wako na Mungu umekufa. Tubu, Tubu,Tubu. Nenda Kwa Mungu Kwa toba kamili, muombe na njia ya kutatua. Hao wote ni maagenti. Haiwezekani Mchungaji amruhusu wake akaliwe nje. Je Imani yake Kwa Mungu wa Ibrahim ipo wapi?
Stori hizi za kwenye movie.

Huyo mwanaume hayupo
 
True. Ndio maana anataka aache ili atubu. Tatizo ni vitisho ndio maana akaniomba ushauri na mimi nimeomba kwenu ili kupata mawazo productive.
Unajua dhambi inapelekea Uovu, ivyo inabidi akubaliane na matokeo tuu chochote kitakacho kujambele yake lakini ni vyema kufanya Sasa kuliko baadae
 
Yani umkunje sebuleni mara mbili mpaka mnamwaga kabsia na ndan ya dk 5 wife anarudi sebuleni asigundue kitu

Hii ni chai
 
Stori hizi za kwenye movie.

Huyo mwanaume hayupo
Pole maana bado uhusiano wako na Mungu ni mdogo mno. Ndo maana unasema hivyo. Mungu anao watu wake 7000 wasio piga goti wala kumwabudu baali.
Ndo maana anasema watakatifu wangu waliopo duniani ndo aliopendezwa nao!
 
Ushauri mzuri, Nitamfikishia

Hakuna mahali kwenye maelezo alipomkufuru Roho mtakatifu.
Kuna level ukishafanya na Roho Mtakatifu ukiasi unamhuzunisha. Adhabu yake ni kama iliyowatokea kina Musa. Umeshawahi jiuliza shetani alitoa wapi guts za kuung’ang’ania mwili wa Musa? Na kwa nini kizazi chote kilichotoka Misri ni watu wawili tu ndo waliingia Canaan? Anasema wazi walimhuzunisha Roho yake. Hataji Mungu, au Yesu, anataja Roho yake Takatifu. Adhabu, kizazi chote kikaanguka kama mzoga njiani. Level zinatofautiana.
 
Pole maana bado uhusiano wako na Mungu ni mdogo mno. Ndo maana unasema hivyo. Mungu anao watu wake 7000 wasio piga goti wala kumwabudu baali.
Ndo maana anasema watakatifu wangu waliopo duniani ndo aliopendezwa nao!
Unaweza kumruhusu mkeo akalale na mwanaume mwingine?

Hio aibu utaificha wapi?

Naomba uniletee uhalisia wa mwanaume ambaye anaruhusu Mke wake akalale na mwanaume mwingine mbali na stori za movie.
 
Tukabaki ndani wawili tu, P Akaniambia ana hamu, basi nika chungulia nje nikaona wako kwenye mabanda ya mbuzi, kuku na sungura huko wanashanga shangaa. Nikamwambia avue pichu aweke kwenye handbag yake akae bila pichu ili iwe rahisi, basi nikamkunja hapo kwenye sofa, nikala mzigo safi tu na akamwaga kama kawaida yake.
Ulianza vizuri ila hapa ndio ukaamua utupikie chai
 
Mambo ya Walawi 20:10 (Biblia Takatifu) “Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.”
Inatosha kusema kifo kinakuhusu Baba wa Imani
Kashakufa kiroho anatakiwa atubu ten madhabahuni.

Ngoja nimnukuu mwimbaji binafsi aliwahi kusema

"Mimi Huwa sipendi kuwekewa MIKONO na mama Mchungaji wala wale VIONGOZi wa maombi.

Maana MIKONO yao Huwa michafu kuliko komwe langu"
 
Nakushauri kaa na mke wako umweleze kuwa mama mchungaji na baba mchungaji wameniomba nisaidie kupata mtoto maana vipimo vinaonyesha kuwa baba mchungaji hawezi bebesha mimba
Sasa mama jesca unashaurije maana. Wana mali lakini hakuna wa kurithi
 
Very interesting comment 😂.
 
Back
Top Bottom