Mnanje Boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 395
- 1,195
Mkuu kumbuka kutubu nayo ni Neema sio Kila mtu anaweza kuipataMmmh
Hiyo ilikuwa kipindi cha sheria, sasa tuko kipindi cha Neema. Ana nafasi ya kutubu na kusamehewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbuka kutubu nayo ni Neema sio Kila mtu anaweza kuipataMmmh
Hiyo ilikuwa kipindi cha sheria, sasa tuko kipindi cha Neema. Ana nafasi ya kutubu na kusamehewa.
Aendelee kulaKama umesoma vizuri, mchungaji nakewe walikubaliana jamaa ale mzigo kwa hiyo hapo hakuna kukutwa wala kuuawa. Hofu yake ni mke wake kujua basi.
Mmmh hapa mke wa jamaa si atajua tu maana kumbuka mke wa mchungaji ameanza kumchukia mke wa N.Mpe mimba ili waridhike ila iwe kihalali ili wakisema uwafunge kisheria andikishaneni kwanini nyie mnamahusiano mbele ya mume wake . Watie sign
Basi amwambie mke wake ukweli yaishe ila sijui atapokeajeMmmh hapa mke wa jamaa si atajua tu maana kumbuka mke wa mchungaji ameanza kumchukia mke wa N.
Jamaa ametambua hilo ndio maana anataka kutubu, ila akaomba nimshauri kabla ya kumuacha huyo mama na mimi nikaja hapa kutafuta mawazo mazuri ya kumsaidia.Aliyesema ikimbie zinaa hakukosea. Ona sasa namna shetani alivyokudaka vizuri. Yupo pembeni anakucheki maana hutaki ndoa ivunjike na pia uhusiano wako na Mungu umekufa. Tubu, Tubu,Tubu. Nenda Kwa Mungu Kwa toba kamili, muombe na njia ya kutatua. Hao wote ni maagenti. Haiwezekani Mchungaji amruhusu wake akaliwe nje. Je Imani yake Kwa Mungu wa Ibrahim ipo wapi?
Hakuna linaloshindikana chini ya jua.Kwamba msela wako akamkunja "viwili" huyo ma'mchungaji sebuleni kwenye sofa hadi mabao yakawa yananuka [emoji1][emoji1][emoji1].
Kwamba cha pili ma mchungaji aka-moan mpaka nje wakawa kama wamesikia. Ba'mchunaji alisikia akavunga maana mission alikuwa anaijua yeye kazi yake ilikuwa kumzuga mke wa msela wako na watoto.
Dah ila hizi stori!!!.