Mama na uzanzibari wake ataweza kupambana na midume hii ya bara?

Tozo na umeme bei juu vishamaliza.
Upinzani wajipange tu
 
Midume yote ile kupigwa mkwara na bibi kizee ni dalili mbaya, saivi bibi anamheshimu mme wake tu bara na visiwani.
Tatizo nyinyi mnamuangalia Samia Kama Samia, hizo zarau zenu mamlaka itawatia adabu mbwa nyinyi
 
Hakuna wa kushindana na Mwenyekiti wa CCM.
 
Huyu mama. Alitaka awakomoe hawa akina JOBO ,afanye mpango wa katiba Mpya tu
 
Ndugu yangu mjue ''Mungu na kazi yake'' huyo uliyefikiria ni mbongo na mtanganyika mwenzao ambaye akijiita jiwe alikuwa na ulinzi wa kila kona magari ya kijeshi na usalama ata idadi hay na helkopta juu kila anakoelekea nsasa yuko wapi? Nabii Mussa A.S alilelewa na firauni ambaye akijiita mungu., Ulinzi anatoa Mungu mwenyewe.,

Wabongo ni mijitu mijoga sana haina mpango wowote, wacha mama awashughulikie
 
uRais wa Tanzania ni mfumo (TISS, TPDF, NEC, Chama chako) ukukubali tu. Kama mfumo haujakukubali utahangaika kama Edward Lowassa mpaka ufirisike na usiwe Rais. Tayari kwa sasa yeye Samia ndiye anatengeneza mfumo kwa kuweka loyals wake ambao ndiyo wata mptisha hapo 2025. Labda ongelea 2030 ila 2025 hakuna cha wanaume wa bara wala wanawake wa bara wote yuko sawa. Jemadari ni mmoja tu
 
Kama mwepesi mbona huyo kiongozi wenu wa kundi lakufanya treason amesanda?? Sasa mtatiwa njugu mmoja mmoja
Mimi sina neno, CCM ni wale wale tu adhabu yenu itafanana kwenye katiba mpya. Kama ni kusukumiwa muwa wote mtasukumiwa
 
Angefuata falsafa za Mwendazake angeshinda tu.
Tatizo anakwenda na falsafa za Msoga,ambazo hazikumusaidia JK nchi ilikuwa inakwenda upinzani, Asante mzee wa chato akaokoa jahazi.
Sasa Msoga wanajitutumua tena ngoja tune.
 
2025 atake asitake akalee wajukuu na kumtunza mumewe yule mtu mzima

Uraisi awaachie wenye hadhi zao
Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema kuwa ukiwa na "dola" huwezi kushindwa uchaguzi labda ukatae mwenyewe. Unataka kusema huyu hana 'dola"?
 
mkuu hata kama una uhuru wa maoni, avatar gani hiyo aisee..
Mkuu sina. Utamaduni wa kuwa na huruma na watu makatiri kabisa,tundu lissu alikuwa mbunge wa wananchi huyo mbukwenyi mbukwa alimnyima pesa(mshahara) Ili afe kwa kukosa matibabu narudia kilchomkuta akome haswa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…