Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025 atake asitake akalee wajukuu na kumtunza mumewe yule mtu mzima
Hawezi kumaliza hii AwamuCha msingi amalize muhula wake aondoke
Tatizo nyinyi mnamuangalia Samia Kama Samia, hizo zarau zenu mamlaka itawatia adabu mbwa nyinyiMidume yote ile kupigwa mkwara na bibi kizee ni dalili mbaya, saivi bibi anamheshimu mme wake tu bara na visiwani.
Kabla ya 2025,nyie Wahaini wote mtakuwa mshapigwa shaba za vichwa2025 atake asitake akalee wajukuu na kumtunza mumewe yule mtu mzima
Uraisi awaachie wenye hadhi zao
atamaliza hata ikibidi nyie Wahaini mtiwe vitanzi woteHawezi kumaliza hii Awamu
×2Waliingiza kidole kwenye mdomo wa chura kuangalia kama ana meno😀😀kilichofuata nisamehe mimi nimekoma mimi sirudii mimi,Mungu nisaidie!!
mkuu hata kama una uhuru wa maoni, avatar gani hiyo aisee..Yaani wangemuweka kwenye bomba wamning'inize kama popo bila nguo kwenye terevisheni ya taifa waunganishe na itv,azam TV siku mzima tumuangalie
Ndugu yangu mjue ''Mungu na kazi yake'' huyo uliyefikiria ni mbongo na mtanganyika mwenzao ambaye akijiita jiwe alikuwa na ulinzi wa kila kona magari ya kijeshi na usalama ata idadi hay na helkopta juu kila anakoelekea nsasa yuko wapi? Nabii Mussa A.S alilelewa na firauni ambaye akijiita mungu., Ulinzi anatoa Mungu mwenyewe.,Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho.
Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua
Mama amejiandaa kwa yote haya? Anadhani wale wote waliokuwa wanasimama juzi pale ikulu na kuimba "tunaimamani na Samia" ni kweli wanampenda?
Midume hii ya ccm kweli itakubali 2025 huyu mama asimame kama mgombea urais ndani ya chama chao?
Mama akiweza kuvuka figisu, uhuni, unafiki na uzandiki unaofanywa na midume hii ya bara atastahili tuzo ya Nobel.
uRais wa Tanzania ni mfumo (TISS, TPDF, NEC, Chama chako) ukukubali tu. Kama mfumo haujakukubali utahangaika kama Edward Lowassa mpaka ufirisike na usiwe Rais. Tayari kwa sasa yeye Samia ndiye anatengeneza mfumo kwa kuweka loyals wake ambao ndiyo wata mptisha hapo 2025. Labda ongelea 2030 ila 2025 hakuna cha wanaume wa bara wala wanawake wa bara wote yuko sawa. Jemadari ni mmoja tuMama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho.
Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua
Mama amejiandaa kwa yote haya? Anadhani wale wote waliokuwa wanasimama juzi pale ikulu na kuimba "tunaimamani na Samia" ni kweli wanampenda?
Midume hii ya ccm kweli itakubali 2025 huyu mama asimame kama mgombea urais ndani ya chama chao?
Mama akiweza kuvuka figisu, uhuni, unafiki na uzandiki unaofanywa na midume hii ya bara atastahili tuzo ya Nobel.
Kichwani mwepesi sana yule, zari lilimdondokea ndo matokeo yake hayaTatizo nyinyi mnamuangalia Samia Kama Samia, hizo zarau zenu mamlaka itawatia adabu mbwa nyinyi
Kama mwepesi mbona huyo kiongozi wenu wa kundi lakufanya treason amesanda?? Sasa mtatiwa njugu mmoja mmojaKichwani mwepesi sana yule, zari lilimdondokea ndo matokeo yake haya
Mimi sina neno, CCM ni wale wale tu adhabu yenu itafanana kwenye katiba mpya. Kama ni kusukumiwa muwa wote mtasukumiwaKama mwepesi mbona huyo kiongozi wenu wa kundi lakufanya treason amesanda?? Sasa mtatiwa njugu mmoja mmoja
Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema kuwa ukiwa na "dola" huwezi kushindwa uchaguzi labda ukatae mwenyewe. Unataka kusema huyu hana 'dola"?2025 atake asitake akalee wajukuu na kumtunza mumewe yule mtu mzima
Uraisi awaachie wenye hadhi zao
Mkuu sina. Utamaduni wa kuwa na huruma na watu makatiri kabisa,tundu lissu alikuwa mbunge wa wananchi huyo mbukwenyi mbukwa alimnyima pesa(mshahara) Ili afe kwa kukosa matibabu narudia kilchomkuta akome haswa!!mkuu hata kama una uhuru wa maoni, avatar gani hiyo aisee..