Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,680
Kiongozi inaonekana unaogopa. 1.6 M ni pesa nyingi ingawa tunatofautiana.Marian Girls si iko Bagamoyo?? Ni watu wa ajabu kabisa
Mkuu kuwa specific bagamoyo kubwaMarian Girls si iko Bagamoyo?? Ni watu wa ajabu kabisa
Kiongozi inaonekana unaogopa. 1.6 M ni pesa nyingi ingawa tunatofautiana.
Kama mnaogopa msiusubiri uamuzi wa waziri.
Hilo jambo lipo ndani ya uwezo wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwa specific bagamoyo kubwa
Nmekuambia jtatu nataka kwenda kumuona huyo mama
Mmekua waoga Sana kama kunguru
Mnamuogopa huyo mwanamke??
Ngoja nikahoji mwenye
Ina maana hujawahi kuisikia shule ya Marian Girls??
Naunga mkono hoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji36] FUNGUENI GROUP LINGINE KISHA MUWAINVITE.
Baada ya hapo wekeni kikao kwenye group kwa umoja wenu muwaulize kuhusu pesa ya tuition.
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo sio kulipa ada ya form five. tatizo ni kulipa ada ya form five wakati pre form five bado haijaisha.Kwa haraka haraka nimeisoma fomu inasema ni ya kidato cha tano sio pre form V. maana yake, malipo unayofanya yatakuwa kwa ajili ya kuamza kidato rasmi. Kama ni hivo sioni tatizo hapo maana wewe ulilipa ya Pre form V na sio Form V. Level mbili tofauti hizo
Unajua nmemwelewa mtoa mada anacholalamika ni kwanini alipie ada ya form five sasa wakat bado hawajaanza. Marian wana utaratibu huo miaka yote ili hata ukihama imekula kwako. Kuna wakati unakuta selection inachelewa hapo ndo walikua wanapiga sana ila kwa vile safari hii imetoka mapema ndo maana wanaitaka haraka ili hata mwanao kama kapata ya serikali wao wanakua wamepata Ada yaoHizi shule zote ni wezi wakubwa. Naijua Maria kwa undani sana, nimekuwa nayo for over 15 yrs nasomesha wanangu pale. Ni wezi wakubwa. Kama unaweza kuikimbia shule hiyo fanya hivyo. Lakini bahati mbaya shule zote za binafsi ni biashara, LAO MOJA.
Ushauri:
Anzisha group la wazazi mjadili hilo and the way out. Lakini wazazi huwa ni waogoa sana...kama tulivyo watanzania
tatzo sio wewe ulietoa 1.6M ambayo haikutimiza lengo lililokusudiwa.Si Sawa matatizo ya shule kuyaleta mtandaoni. It's so unintellectual...
Unashusha na kudhalilisha hadhi na heshima ya shule.
Bora ungemuhamisha mwanao kuliko kuleta Uzi huku.
Umechemka mkuu
@moderators futeni Uzi huu.
Si Sawa matatizo ya shule kuyaleta mtandaoni. It's so unintellectual...
Unashusha na kudhalilisha hadhi na heshima ya shule.
Bora ungemuhamisha mwanao kuliko kuleta Uzi huku.
Umechemka mkuu
@moderators futeni Uzi huu.
[/QUOTE
Kwahiyo iinterllectual ni wao waliofunguwa group na kutuingiza na kutuelekeza cha kufanya huku tukiwa hatuna access ya kutoa comment zetu?? Mimi nimekuja hapa kutafuta access ya Waziri husika kwani najuwa hili jamvi linasomwa
Kwa haraka haraka nimeisoma fomu inasema ni ya kidato cha tano sio pre form V. maana yake, malipo unayofanya yatakuwa kwa ajili ya kuamza kidato rasmi. Kama ni hivo sioni tatizo hapo maana wewe ulilipa ya Pre form V na sio Form V. Level mbili tofauti hizo
Leftini hilo group