Mama Ndalichako tusaidie Marian Girls wanataka kutuibia wazazi bila aibu

Mama Ndalichako tusaidie Marian Girls wanataka kutuibia wazazi bila aibu

Marian Girls si iko Bagamoyo?? Ni watu wa ajabu kabisa
Mkuu kuwa specific bagamoyo kubwa
Nmekuambia jtatu nataka kwenda kumuona huyo mama
Mmekua waoga Sana kama kunguru
Mnamuogopa huyo mwanamke??

Ngoja nikahoji mwenyewe
 
Kiongozi inaonekana unaogopa. 1.6 M ni pesa nyingi ingawa tunatofautiana.

Kama mnaogopa msiusubiri uamuzi wa waziri.

Hilo jambo lipo ndani ya uwezo wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaogopa 1.6m cha ajabu watoto wanarudi ajili ya PV then waitaingia V 24th July nayo pia wanataka ilipwe kesho kutwa wakienda yani tarehe 26June iwe imelipwa. Kwanini ulipe hela ya mbeleeeeeeee???
 
Mkuu kuwa specific bagamoyo kubwa
Nmekuambia jtatu nataka kwenda kumuona huyo mama
Mmekua waoga Sana kama kunguru
Mnamuogopa huyo mwanamke??

Ngoja nikahoji mwenye

Ina maana hujawahi kuisikia shule ya Marian Girls??
 
Kwa haraka haraka nimeisoma fomu inasema ni ya kidato cha tano sio pre form V. maana yake, malipo unayofanya yatakuwa kwa ajili ya kuamza kidato rasmi. Kama ni hivo sioni tatizo hapo maana wewe ulilipa ya Pre form V na sio Form V. Level mbili tofauti hizo
 
Hizi shule zote ni wezi wakubwa. Naijua Maria kwa undani sana, nimekuwa nayo for over 15 yrs nasomesha wanangu pale. Ni wezi wakubwa. Kama unaweza kuikimbia shule hiyo fanya hivyo. Lakini bahati mbaya shule zote za binafsi ni biashara, LAO MOJA.

Ushauri:
Anzisha group la wazazi mjadili hilo and the way out. Lakini wazazi huwa ni waogoa sana...kama tulivyo watanzania
 
Hapa majibu yapo wazi.

Zile pesa za pre form V, zimeshatumika zimeisha, sio wametumia wazazi au wanafunzi hapana, ila zimetumika kwa matumizi ya hapo shule hivyo hawana pesa ya kuwalea watoto wenu kwa kipindi hiki.

Hivyo wameamua muanze kulipa kabisa ada ya form V ili waweze kuendesha gurudumu hilo.

Njia waliyotumia ya kuwanyima kucomment sio sahihi, ilibidi mjadiliane kwa pamoja wawaambie sababu ya nyie kutakiwa kulipa ada kabla ya wakati ili muelewane.

Poleni kwa changamoto
 
Kwa haraka haraka nimeisoma fomu inasema ni ya kidato cha tano sio pre form V. maana yake, malipo unayofanya yatakuwa kwa ajili ya kuamza kidato rasmi. Kama ni hivo sioni tatizo hapo maana wewe ulilipa ya Pre form V na sio Form V. Level mbili tofauti hizo
tatizo sio kulipa ada ya form five. tatizo ni kulipa ada ya form five wakati pre form five bado haijaisha.

ni sawa na chuoni kulipa ada ya semester ya pili kabla ya semester ya kwanza kuisha. haileti maana. ndio anachohoji huyu ndugu yetu.
 
Si Sawa matatizo ya shule kuyaleta mtandaoni. It's so unintellectual...
Unashusha na kudhalilisha hadhi na heshima ya shule.

Bora ungemuhamisha mwanao kuliko kuleta Uzi huku.

Umechemka mkuu

@moderators futeni Uzi huu.
 
Hizi shule zote ni wezi wakubwa. Naijua Maria kwa undani sana, nimekuwa nayo for over 15 yrs nasomesha wanangu pale. Ni wezi wakubwa. Kama unaweza kuikimbia shule hiyo fanya hivyo. Lakini bahati mbaya shule zote za binafsi ni biashara, LAO MOJA.
Ushauri:
Anzisha group la wazazi mjadili hilo and the way out. Lakini wazazi huwa ni waogoa sana...kama tulivyo watanzania
Unajua nmemwelewa mtoa mada anacholalamika ni kwanini alipie ada ya form five sasa wakat bado hawajaanza. Marian wana utaratibu huo miaka yote ili hata ukihama imekula kwako. Kuna wakati unakuta selection inachelewa hapo ndo walikua wanapiga sana ila kwa vile safari hii imetoka mapema ndo maana wanaitaka haraka ili hata mwanao kama kapata ya serikali wao wanakua wamepata Ada yao
 
Si Sawa matatizo ya shule kuyaleta mtandaoni. It's so unintellectual...
Unashusha na kudhalilisha hadhi na heshima ya shule.

Bora ungemuhamisha mwanao kuliko kuleta Uzi huku.

Umechemka mkuu

@moderators futeni Uzi huu.
tatzo sio wewe ulietoa 1.6M ambayo haikutimiza lengo lililokusudiwa.

mpaka ameandika hivi hadharani manake hio hela imemuuma mkuu.
 
Tumieni utu tu kama hiyo pesa ililipa miahahara ya walimu kipindi kuna zuio wajitahidi kwa kipindi hichi mpaka july wakamilishe syllabus kuwe na win win situation. Wapige kazi hata mpaka usiku jumamosi.
 
Poleni sana mkuu ni wakati ambai wengi wetu tunaanza kuona mwanga wa hii biashara ya Elimu na thamani ya Elimu itolewayo na serikali..
Pamoja na hayo naomba ushauri mwanangu amechaguliwa kujiunga na chuo CBE Mwanza, akiwa amehitimu kidato cha Nne na hesabu amepata F. Je hii ni sawa? Kama sio sawa nichukue hatua zipi?
 
Si Sawa matatizo ya shule kuyaleta mtandaoni. It's so unintellectual...
Unashusha na kudhalilisha hadhi na heshima ya shule.

Bora ungemuhamisha mwanao kuliko kuleta Uzi huku.

Umechemka mkuu

@moderators futeni Uzi huu.
[/QUOTE

Kwahiyo iinterllectual ni wao waliofunguwa group na kutuingiza na kutuelekeza cha kufanya huku tukiwa hatuna access ya kutoa comment zetu?? Mimi nimekuja hapa kutafuta access ya Waziri husika kwani najuwa hili jamvi linasomwa
 
Kwa haraka haraka nimeisoma fomu inasema ni ya kidato cha tano sio pre form V. maana yake, malipo unayofanya yatakuwa kwa ajili ya kuamza kidato rasmi. Kama ni hivo sioni tatizo hapo maana wewe ulilipa ya Pre form V na sio Form V. Level mbili tofauti hizo

Read between the lines
 
Back
Top Bottom