Mama ni mama ila sio mama mkwe

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Jamani kuolewa raha sana ila huyu mtu akianza maneno umekufa.

1. Jiko lake

2. Mume wako (mtoto ni wake) Leo amekuja mie nawatoto tunawaza kufunga vyumba vyetu nakuhamia kwa mama yangu abaki kwa mtoto wake mtu ni gubu.

Kerooo kama ulimzaa ukamtelekeza stendi au sokoni. Maneno hayaishi hadi unatamani ukimbie. Ila leo baba anarudi ijioni tunamwambia tunahama kisa mama ake. Watoto wanawapeleka kwa mama yangu hata watoto wamemchoka.

Kama mama ako anahizi tabia ni mbaya
 
Kwa huu uandishi, ww ndiye mwenye shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna rafiki yangu ambaye ni jinsia ya kike, na katika kupiga story za wakwe akasema mama mkwe akija kuwasalimia huwa hakai zaidi ya siku mbili kwa sababu huwa anapiga kelele wakati wa tendo la ndoa mpaka mama mkwe anasikia na baada ya siku mbili anaaga. Hii inaitwa wanawake na vijimambo.
 
Asante kwa ushauri ila swali huyo dada hana watoto ??
 
Kwangu afanye nini mama mkwe? Aje kusalimia na kuondoka, kama anataka kukaa na mwanae amchukue akakae nae kwake . Nataka nikae na mke wangu bila usumbufu. Ila mama yangu mzazi sina la kusema ni kumbembeleza kama mtoto.
Sasa ndio nahama nasubiri baba la baba aje nasepa na mwachia nyumba shish au nafanya kama nilivyoshauriwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ndio nahama nasubiri baba la baba aje nasepa na mwachia nyumba shish au nafanya kama nilivyoshauriwa
Shusha kidogo hasira mpendwa, kuwa na subra, utasikia nilimzaa Mimi ndiyo akaja kwako[emoji23] mama mkweee! Embu fanya kama humuoni vile!
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nna rafiki kama huyu ila instead mama mkwe anawagongeaga wapunguze kelele na akiamka saa 12 asubuhi weekend anaanza kuwagongea waamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…