Mama ni mama ila sio mama mkwe

Mama ni mama ila sio mama mkwe

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nna rafiki kama huyu ila instead mama mkwe anawagongeaga wapunguze kelele na akiamka saa 12 asubuhi weekend anaanza kuwagongea waamke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikweli hayo yote
 
Kwanini nayeye asikae na baba huko? Au atafute hata bamdogo au anko awe anapitiwa kausingizi kaasubuhi?
 
Kuna jamaa kampa gari ndogo mzee wake ya kutembelea. Mkewe anataka na mama yake mzazi anunuliwe gari analalamika mama yetu anapata tabu Usafiri.
 
Nyumbani ni kwangu sio kwa mke wangu, nilimuomba aje kwangu tuishi, kumbembeleza mama yake ni kwake alipozaliwa. Simnyime kwenda kwao. Ila kama mimi ni bonge la Mario sina ujanja.
 
Huyo mama mkwe anafanya nini mpaka uhame nyumba
Ukifua nguo anasema sabuni hiyo sio nzuri kwa mwanaye nisiitumie tena.
Nasijui kung'arisha nguo za mwanae.
Hata chakula sijui kupika ukimwambia mnapigana analia eti anaonewa hali chakula kikipikwa hadi apike yeye.
Anatesa watoto wangu hutasema ni bibi yao yaani anawapelekesha na niwadogo.
Anapiga wafanyakazi na pia anawatishia kwa maneno makali.
Sijui chakufanya .
Nipo njia panda kiufupi ni mkorofi nimechoka angekuwa mama yangu ningemwambia siyo mama yangu simwambii na hama na naacha wafanyakazi .
 
Hivyo vingine ni vya kawaida sema cha kuwatesa watoto ndo changamoto,
Mfano kama anataka kumpikia mwanae muache,hata akitaka kufua bukta za mwanae muaache maana ni mambo ya mda mfupi si mda atazeeeka ataacha kufanya hayo mambo, ninachiona hapa emu mpuuze kwa maana huyo sio mke mwenza kwamba atakuchukulia mmeo wewe muache apike,afue yaani afanye kila anavyoweza ila wewe pambana chumbani ya nini kushindana naye,
Ukijua hili kwamba atafanya hayo yote afu mwisho wa siku we ndo utaenda kumkatikia chumbani basi hauna haja ya kushindana naye utaonekana una roho mbaya wakati vilikuwa vitu vya kupuuza
 
Katika vitu I am proud of ni uamuzi wa kumchukulia Mamangu Mkwe kuwa ni Mama yangu.

Na sijawahi kujutia. Why? Because Mama Yangu Mzazi hajakamilika, Ana madhaifu yake mengi tu kama mimi na Mama Yangu.

Why nitarajie Mama wa mwenzangu awe kamilika wakati mie na Mama Yangu hatujakamilika.

So namchukulia kama an ordinary human being. Nampa heshima yake kama Mzazi wangu.
 
Ukifua nguo anasema sabuni hiyo sio nzuri kwa mwanaye nisiitumie tena.
Nasijui kung'arisha nguo za mwanae.
Hata chakula sijui kupika ukimwambia mnapigana analia eti anaonewa hali chakula kikipikwa hadi apike yeye.
Anatesa watoto wangu hutasema ni bibi yao yaani anawapelekesha na niwadogo.
Anapiga wafanyakazi na pia anawatishia kwa maneno makali.
Sijui chakufanya .
Nipo njia panda kiufupi ni mkorofi nimechoka angekuwa mama yangu ningemwambia siyo mama yangu simwambii na hama na naacha wafanyakazi .
Wanyakazi wangapi?!
 
Jamani kuolewa raha sana ila huyu mtu akianza maneno umekufa.

1.Jiko lake

2.Mume wako (mtoto ni wake) Leo amekuja mie nawatoto tunawaza kufunga vyumba vyetu nakuhamia kwa mama yangu abaki kwa mtoto wake mtu ni gubu.

Kerooo kama ulimzaa ukamtelekeza stendi au sokoni.

Maneno hayaishi hadi unatamani ukimbie.
Ila leo baba anarudi ijioni tunamwambia tunahama kisa mama ake.

Watoto wanawapeleka kwa mama yangu hata watoto wamemchoka.

Kama mama ako anahizi tabia ni mmbaya
Wee tena ukute ni mkwe wa kitanga, Pole sana, kwa kweli sijui shida ipo wapi kwa hawa wakwe zetu wa kike, wakati mwingine unajishusha down to earth lakini haoni jema lako hata moja, muda wote yeye anakukosoa na kukusema, unakaa kimya unamvumilia tu kwa sababu mwisho wa siku atarudi kwake

Ila kuna wengine hawawezi kuvumilia kabisa, mimi katika watu ambao huwa hawanipi tabu ni mama mkwe, hata nikimkuta amenuna au ananisema huwa natabasamu namuuliza mama nikiletee supu? Au namletea glass ya maziwa halafu namuuliza nini kimekukwaza mama

Wakati mwingine nikimsikia ananisema namletea doti ya kitenge namwambia leo nimekununulia zawadi, mwisho wa siku akaacha kabisa akawa anaona aibu maana niliamua kudeal nae kidiplomasia, akawa sasa anawasumbua madada wa kazi na watoto,nikipanga ratiba anapangua anapanga yake

Halafu hata mtoto wake asikie mama ananisema, akikasirika akitaka kugombana na mama mimi huwa nasimama upande wa mama, namwambia afterall she is a mother na wala huwa simruhusu aingilie makwazo au kero anazosababisha mama hata kwa wadada wa kazi au kwa watoto, maana huwa naona ni mambo ya kupita tu, imefika mahali wake wa mashemeji zangu wote wamemsusia mama, na mama hathubutu kwenda kwao maana akifika wanafungasha wanasepa mpaka mama aondoke, ile mimi walaaaa, hata mama akigombana na mzee huko nyumbani au akikwazika anakimbilia kwangu kupunguza mawazo na wala huwa hanipi shida, naenda nae tu hivyohivyo ingawa wakati mwingine nakwazika naumia na maneno yake, hana shukrani saingine mlalamishi tu anacholalamika hakina maana

Siku moja nimeenda kazini nimemwachia dada maagizo, mama akainhia jikoni kachemsha mihogo na maharage akawalisha watoto, anasema ati tinawapa watoto maisha ya anasa, nimerudi watoto wana njaa namuuliza dada watoto hawajala akanisimulia wala sikukasirika, nikaingia nikawapikia watoto

Jama hupendinkero za mkwe wako, jitahidi usije kuwa mkwe wa namna hiyo huko mbelenu, watoto wako wataoa/olewa, jiulize wewe utakua mkwe wa namna gani, usiruhusu watoto wa wenzio wasononeke kwa sababu yako, kupitia wakwe zetu, tupate somo.
 
Ukifua nguo anasema sabuni hiyo sio nzuri kwa mwanaye nisiitumie tena.
Nasijui kung'arisha nguo za mwanae.
Hata chakula sijui kupika ukimwambia mnapigana analia eti anaonewa hali chakula kikipikwa hadi apike yeye.
Anatesa watoto wangu hutasema ni bibi yao yaani anawapelekesha na niwadogo.
Anapiga wafanyakazi na pia anawatishia kwa maneno makali.
Sijui chakufanya .
Nipo njia panda kiufupi ni mkorofi nimechoka angekuwa mama yangu ningemwambia siyo mama yangu simwambii na hama na naacha wafanyakazi .
Kama anataka kumpikia mwanaye mwacheni ampikie mahitaji yote mpeni apike, kama anataka kufua nguo mkusanyie afue tena bila kinyongo muulize mama nifundishe jinsi yakufua nguo za mwanao haa haa
 
Kwangu afanye nini mama mkwe? Aje kusalimia na kuondoka, kama anataka kukaa na mwanae amchukue akakae nae kwake . Nataka nikae na mke wangu bila usumbufu. Ila mama yangu mzazi sina la kusema ni kumbembeleza kama mtoto.
Fikiria mtoa mada ndio mkeo na anayesemwa ni mama yako mwenye tabia tajwa... utafanya nini maana shida huwa ni kwa mama wa wanaume
 
Jamani kuolewa raha sana ila huyu mtu akianza maneno umekufa.

1.Jiko lake

2.Mume wako (mtoto ni wake) Leo amekuja mie nawatoto tunawaza kufunga vyumba vyetu nakuhamia kwa mama yangu abaki kwa mtoto wake mtu ni gubu.

Kerooo kama ulimzaa ukamtelekeza stendi au sokoni.

Maneno hayaishi hadi unatamani ukimbie.
Ila leo baba anarudi ijioni tunamwambia tunahama kisa mama ake.

Watoto wanawapeleka kwa mama yangu hata watoto wamemchoka.

Kama mama ako anahizi tabia ni mmbaya
Ukipata mtoto wa kiume ndiyo utajua kwanini Mama wakwe huwa hawataki upuuzi wa mkamwana wao.

Hivyo hivyo kwa wanaume wenye watoto wa kike wanajua kwanini ushenzi kwa mabinti zao hautakiwi.
 
Back
Top Bottom