Mama ni mama ila sio mama mkwe

Mama ni mama ila sio mama mkwe

Utoto tuu.


Yaan mwanamke amtreat Mama yangu vibaya?? Ewaaaa Siku Mama yake ajichanganye naye aje kwangu[emoji40]


MWANAMKE MPUMBAVU, HUMUONA MAMA MKWE WAKE KAMA KERO.
 
Mie niomba hivyo hivyo nimewakuta wote mpaka baba uwiii Mungu anajua
Naomba wasikupe wasikupandishe presha dear hao dawa yao kuhakikisha mnaheshimiana na usijenge mazoea ya kujuana kiundani.
 
Nilifikiria mama mkwe ndie kaja kwako, kumbe ni mama mzazi! Huna ujanja ni kutumia tu busara.
 
Back
Top Bottom