Mama ni mama ila sio mama mkwe

kwani sio bibi yao?
 
Mkalie kimya, usijibizane na mama mkwe wako, maudhi yake ni ya muda tu atarudi kwake, akikwambia hujui kupika mwambie mama nifundishe, akikwambia sabuni sio nzuri mwambie akuchagulie sabuni nzuri, na akikwambia hujui kufua mwambie nataka kujifunza kutoka kwako, kudeal nae ni rahisi huna sababu ya kukimbia nyumba yako, nishushe tu fanya kama yeye ndo anajua kila kitu akufundishe, muda ukifika atarudi kwake utaendelea na maisha yako

Huwezi kubadilisha kitu, ndio mama wa mumeo huyo
 
Ungeanza na maelezo haya kwenye uzi wako ungeeleweka zaidi kuliko ulichoandika mwanzo ambapo unaonekana unamatatizo wewe
 
Kabisaa
 
Mimi nilikua natamani niolewe nikutane na mama mkwe na mawifi wenye midomo. Lakini sina mama mkwe alishatangulia hao mawifi hata muda wa kuja majumbani kwa kaka zao hawana. Wako busy na ndoa zao.
Mie niomba hivyo hivyo nimewakuta wote mpaka baba uwiii Mungu anajua
 
Fikiria mtoa mada ndio mkeo na anayesemwa ni mama yako mwenye tabia tajwa... utafanya nini maana shida huwa ni kwa mama wa wanaume
Sikia mke huonekana kuwa anafaidi matunda ambayo hajui yafika vipi pale na ndiyo maugomvi huanzia hapo
 
Kwenye gari watapata nini? Watu hawatembei na pesa tasilimu kama zamani. Pesa inawekwa kwenye simu yenye thamani ya 20000.
 
Sina cha kuongezea amemaliza
 
Kwanini nayeye asikae na baba huko? Au atafute hata bamdogo au anko awe anapitiwa kausingizi kaasubuhi?

Niliulizaga hilo swali baadae nkajua 1. Baba alikua na kisukari then shortly after mzee akavuta (RIP) things got worse after that
 
Niliulizaga hilo swali baadae nkajua 1. Baba alikua na kisukari then shortly after mzee akavuta (RIP) things got worse after that
Lakini sio sababu yakusumbua watoto na kuwa chanzo chakuwesha amani ya ndoa ya watoto wake kama bado ana nguvu si anakaa kwake anapewa mahitaji yote? Kuna kijana alilalamika kwa mchungaji mama anataka kupewa sawa kwa aina hiyo hiyo kitu alicholetewa mkamwana wake, sasa kijana anakwazika kwanini iwe hivyo utazani ninawake wawili?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli yaani hajatambua kuwa wewe ni mama pia hayo maneno yanakera wanao.
Anadai vitu visivyoeleweka kama ndoa yake
 
Mimi nilikua natamani niolewe nikutane na mama mkwe na mawifi wenye midomo. Lakini sina mama mkwe alishatangulia hao mawifi hata muda wa kuja majumbani kwa kaka zao hawana. Wako busy na ndoa zao.
Hivyo ni mama tu anatuumiza kichwa mawifi kidogo wao wako tight na life
 
Atafika baada ya saa mbili nanusu akifika tu huu usiku tunasepa akae mwenyewe hapo sibadiliki
 
Atafika baada ya saa mbili nanusu akifika tu huu usiku tunasepa akae mwenyewe hapo sibadiliki
Hahaha una umri gani dear, that is too childish, usiondoke kwako kwa sababu ya mama mzaa mume wako, you need to sort it kabla hata mumeo hajafika,

Kama imekua worse to that extent kaa na mama chini muulize umekosea wapi na vile ambavyo anakukwaza, pengine ni jambo la kuongea sio kuchukua hasira, huyo ni kama mama yako mzazi
 
Hivyo ni mama tu anatuumiza kichwa mawifi kidogo wao wako tight na life
Mume wako yeye anasemaje kuhusu tabia za mama? Na kama mmeshajua tabia zake hazivumiliki kwa nini mnampa nafasi ya kukaa kwenu muda mrefu?

May be mjenge tabia ya kwenda kumsalimia kila mwezi na kumpelekea mahitaji muhimu ili kuepusha yeye kuja kwenu unless kuna jambo la msingi linamfanya aje

Mwisho wa siku huyo ndio mama mkwe wako, mume wako hawezi kuona unampa mistreatment mama yake hata kama mama ana makosa, kama mumeo nae ameona kuna tatizo he is in a better position kuzungumza na mama yake au hata mkatumia watu wa karibu yake kama wifi zako au shemeji zako

Kumbuka tu kwamba kila mtu ana mapungufu, hawa akina mama mkwr ni wa kuwavumilia na kuwapa heshima hakuna sababu ya kumkimbia, busara zaidi inahitajika
 
Ona sasa unavyoandika kwa kutumia IQ kubwa. Ndio maana ninasemaga siku zote unafaa kuwa mke wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…