Mama ni mama ila sio mama mkwe

Yawapasa mabinti wote wakuige
 
Kwangu afanye nini mama mkwe? Aje kusalimia na kuondoka, kama anataka kukaa na mwanae amchukue akakae nae kwake . Nataka nikae na mke wangu bila usumbufu. Ila mama yangu mzazi sina la kusema ni kumbembeleza kama mtoto.
Chukua bia pesa utalipa mwisho wa mwezi
 
Duh!!!,huyo sasa ni noma aise
 
Ngoja nimshauri waifu aanze kula kitu cha Arusha kumbe kina faida hivi
 
Mama wakwe na visa vyao,, nilivyo najua kupuuza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… sinaga habari kabisa nalala na kuamka nae Nina muda mwingi wa kuwa nae kuliko mtu yeyote yule, hii hunipa bonge ya faraja najionaga mshindi kinoma noma
 
Ni kujitahidi tu kuvumilia na kujishusha maisha mengine yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…