miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
stelingi bashiteMovie mpya ni ya Daudi Bashite kwa sasa
Wao wana chakula cha kutosha ndani!!Mbona Ray,Mboto,JB na wengine wenye mvuto sijawaona hapo hata Kajala na Anti Ezekiel,wengi hapo njaa sana.
Safi sana - Watu kama nyie duniani mpo wachache sana, Na huwa mnafanikiwa sana - Watu wengi duniani ni mazuzu, No wonder Matajiri 1% wanamiliki uchumi sawa na 99% dunianiwalilipwa hawakulipwa haituhusu wote wapumbavu tu, kuanzia wema, mama wema, bongo muvi wote na wale wote wanaokubali kutumika kisiasa na chama tawala au upinzani bila kuangalia maslahi ya watu wengine!!!
ipo ya gods must be crazyhivi hakuna movie mpya ?
Spidi ya Rais Magufuli kuondoa uovu wa kila aina unamgusa kila mtu, toka wanasiasa maarufu, wasanii maarufu, wasomi maarufu, na kadhalika. Wanachoweza ni kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kupumulia hasira na mapresha yao.Eeh Mungu okoa hili Taifa..!
okey lini inatoka?ipo ya gods must be crazy
Tumia ubongo kufikiria Wema ana umaarufu kwako,na hao wana umaarufu kwa wengine ndio maana wana maisha yao hawaishi kwa ajili Wema.Au Ni umaarufu UPI?unaomzungumzia Wa kutoa papuchi kwa Wema?Katika wote ni yupi mwenye umaarufu wa Wema. Wote hao wanateseka kwa njaa kipindi hiki hakuna Mabwana wala Masugarmamy
Pesa za GSM zimetumika kukodi ukumbi
So bajeti ya mwaka jana june ilikuwa ya Jk ? [emoji41][emoji41]Spidi ya Rais Magufuli kuondoa uovu wa kila aina unamgusa kila mtu, toka wanasiasa maarufu, wasanii maarufu, wasomi maarufu, na kadhalika. Wanachoweza ni kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kupumulia hasira na mapresha yao.
Na huu ndiyo kwanza mwaka wa kwanza wa bajeti wa huu utawala. Yawezekana, bajeti inayofuata ikabana watu zaidi kulipia kodi walizokuwa wanakwepa, ili hayo mapato yafaidike kwa wananchi wote.