Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Lini uliwaomba radhi hawa baba,babu wa watu,leo hii umewafata huko kimya kimya. Omba msamaha kwenye account yako
(1).jpg
Msanii ni msanii tuu sio wema wala hao wenzake
16906969_1852861704986038_4096366998915645440_n.jpg
16789421_273197129783555_1979967051439013888_n.jpg
ila wema hii michezo ya kuweka watu uliogombana nao kimaslah kwenye account yako haikuanza leo
 
Attachments

Swali walilipwa lipwa vipi? Kwa cheki, benki au? Na walilipa wapi kodi?
 
Bado mtakuja kusema ukweli tu. Alikuwepo msanii Steve aliyesema ukweli lkn alipobanwa na black suit black sunglasses akakanusha na kuweka pilipili machoni ili kutoa machozi. Itakuwa nyie? Tunaifahamu TYL Acha nyie UVCCM. Hamuwezi kutudanganya kwa chochote kile
 
walilipwa hawakulipwa haituhusu wote wapumbavu tu, kuanzia wema, mama wema, bongo muvi wote na wale wote wanaokubali kutumika kisiasa na chama tawala au upinzani bila kuangalia maslahi ya watu wengine!!!
Safi sana - Watu kama nyie duniani mpo wachache sana, Na huwa mnafanikiwa sana - Watu wengi duniani ni mazuzu, No wonder Matajiri 1% wanamiliki uchumi sawa na 99% duniani
 
Kama wewe JB mie ninakufahamu vizuri. Tangu enzi zile tukilewa pale kwa Charls. Usanii wako tunaujua vizuri sana
 
Mke wa komba mpaka sasa anadai pesa iwe nyinyi? Hivi kweli utoke nyumbani Kwako kuita mkutano huo waandishi wa habari kisa kukanusa tu kulipwa au kutolipwa, nani kalipia huo mkutano wa wana habari? Naambiwa TV moja ni Laki na nusu radio 1 elfu 50 malipo yao
 
Mbonaaa wanahofuu namnaa hyooo? Suraa zmewakakamaa hawajiamin afu wengi wao wanywa majiii
 
Eeh Mungu okoa hili Taifa..!
Spidi ya Rais Magufuli kuondoa uovu wa kila aina unamgusa kila mtu, toka wanasiasa maarufu, wasanii maarufu, wasomi maarufu, na kadhalika. Wanachoweza ni kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kupumulia hasira na mapresha yao.

Na huu ndiyo kwanza mwaka wa kwanza wa bajeti wa huu utawala. Yawezekana, bajeti inayofuata ikabana watu zaidi kulipia kodi walizokuwa wanakwepa, ili hayo mapato yafaidike kwa wananchi wote.
 
Katika wote ni yupi mwenye umaarufu wa Wema. Wote hao wanateseka kwa njaa kipindi hiki hakuna Mabwana wala Masugarmamy
Tumia ubongo kufikiria Wema ana umaarufu kwako,na hao wana umaarufu kwa wengine ndio maana wana maisha yao hawaishi kwa ajili Wema.Au Ni umaarufu UPI?unaomzungumzia Wa kutoa papuchi kwa Wema?
Pesa za GSM zimetumika kukodi ukumbi
 
Na hao nawahaesabia siku tu utasikia mmoja baada ya mwingine anahama. Yangu macho na Masikio
 
Spidi ya Rais Magufuli kuondoa uovu wa kila aina unamgusa kila mtu, toka wanasiasa maarufu, wasanii maarufu, wasomi maarufu, na kadhalika. Wanachoweza ni kukimbilia kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kupumulia hasira na mapresha yao.

Na huu ndiyo kwanza mwaka wa kwanza wa bajeti wa huu utawala. Yawezekana, bajeti inayofuata ikabana watu zaidi kulipia kodi walizokuwa wanakwepa, ili hayo mapato yafaidike kwa wananchi wote.
So bajeti ya mwaka jana june ilikuwa ya Jk ? [emoji41][emoji41]

Au mimi nimekuelewa vibaya?
 
Back
Top Bottom