Sasa jamani njaa imekuwa mbaya hivyo. Au ndio usanii huu.Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.
Tatizo hizi drama ndo zinawalipa mkuu!Hao nao vilaza kweli hawaumizi vichwa kutoa filamu nzuri wamebaki kufanya ujinga.
kwani hao unaona ni masikini kama wewe?Mke wa komba mpaka sasa anadai pesa iwe nyinyi? Hivi kweli utoke nyumbani Kwako kuita mkutano huo waandishi wa habari kisa kukanusa tu kulipwa au kutolipwa, nani kalipia huo mkutano wa wana habari? Naambiwa TV moja ni Laki na nusu radio 1 elfu 50 malipo yao
Wananjaa hawa waone hivyo tu, siku hizi wanashinda Kariakoo kuwachomea kwa tra wanaouza CDs za njeTatizo hizi drama ndo zinawalipa mkuu!
Huoni wengine leo waitisha press confrence..! Nchi inaendeshwa kisanii sasa hivi
Hapo wànajifanya vipofu. Unafiki huwa ni mbaya sana sana kama utajifanya kipofu. Yaani mtu kama JB nilikuwa naamini kuwa anaweza kuwa na msingi wa kujiamini kama anavyoigiza, kumbe bure kabisa.Unafiki mtupu...Hao CCM juzi Juzi walisema hawalipi wasanii kama hakuna mkataba na watai hakiki kwanza....sasa leo mnakuja hapo kutoka povu baada ya kuitwa na kutishwa au kupata chochote.
wema yupo right ccm wenyewe walithibisha kuwa wanao daia waende na mikataba. wacheni kutoka povu..
CCM kutowalipa wasanii wasio na ushahidi wa madai yao
labda na shigongo naye atakuja kukanusha kwamba aliambia baba jipoze kwa kunywa maji
Mfanyabiashara Erick Shigongo alia na Deni analoidai CCM, adai Mali alizowekea dhamana mbioni kupigwa Mnada.
Hao wote ni wasanii walioelimika kwa ngazi ya elimu ya juu. Hapa kwetu ni fafafafa tu, unategemea nini?Hivi hili tatizo la wasanii kutumika na drama drama za kijinga hivi zipo na kwa wenzetu?
Manake ni nadra kusikia chamelione, Juguar, prezoo, Nameless, saut soul..wameitisha press [emoji41][emoji41]
Hahahaaaaa! Fa fa fa fa fa fa!Hao wote ni wasanii walioelimika kwa ngazi ya elimu ya juu. Hapa kwetu ni fafafafa tu, unategemea nini?
Kukubali kwamba hawajalipwa maana yake ni kwamba wanahama CCM.Wasanii wa filamu za Kibongo, leo wameitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo wamekanusha kuidai CCM huku wakisema kwamba wote walilipwa.