Mama Rwakatare anahaha kumuokoa Mch. Jean aliyekamatwa kwa Ubakaji!!!

Wewe Swai ambaye mtoto wako amebakwa na Mchungaji wa Mama Rwakatare peleka wote hao mahakamani kuanzia Mchungaji na Mama Rwakatare....Mama Rwakatare afunguliwe mashtaka kwa kufuga wachungaji wabakaji kanisani kwake...
 
uliwahi ona wapi kiongozi wa kweli wa dini ni mmbunge?hawa watu umefika wakati Mungu atawaumbua mwenyewe kama alivyomshughulikia jerry gwamba.
 
Huyu jamaa mi najua ni Mtangazaji wa Clouds na pia ni Mc wa maharusi nk..nk....Sasa nimeshangaa kusikia eti ni Mchungaji....Labda tusaidiane kushangaa....
Siku ya wapendanao aliitisha semina iliyofanyika usiku.Sifa ni kwamba unakwenda hapo ukiwa na mwanamke bila kujali kama ni mkeo. Kiinglio shs 20,000/=.Alikodi vyumba pale New Afrikan hotel DSM na kiongozi wa Semina hiyo alikuwa Mzee wa Kanisa aitwaye Mwakitalu.
Mama Rwakatare alikuwa anauliza swali linalohusu mambo ya ndoa ukijibu vizuri unapata ofa ya kwenda kulala na huyo mwanamke New Afrika hotel.
Alikodi magari mengi ya kupeleka washindi huko!!!
Usiko huo wa wapendanao alikusanya pesa nyingi na watu wakalala New Afrika hotel.

Sita sahau ,siku alipokuja Askofu Kitonga pale Kwa mama Rwakatare .Benz la Mch Rwegasira wakati huo yupo hapo lilitumika kumupeleka Starlight hotel aliko kodishiwa chumba lakini Usiku Mama Rwakatare alinyata na kwenda kulala chumba kimoja na Askofu Wahudumu wa hapo wakashangaa sana!!
Mahubiri ya Askofu yalififia hadi leo !!!
Huyo ndiye mshauri wa ndoa wakati yeye hataki kukaa na mmewe!!!
Huwa ana usemi huu "If you can get milk why keep a cow?'
 
I see...

Halafu hivi huyo Harris Kapiga mtangazaji wa Clouds ni Mchungaji....? Hakyanani kwastail hii hatitapona...
Kweli maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"

Na kweli hawa waumini wao wamekuwa wakisikiliza maubiri yao tu pasipokuyajua matendo yao kama yanaendana na wanachowafundisha kwe tunaangamia kwakukosa maarifa
 
Mh! Mungu ndiye pekee atakayefumbua hili fumbo kama wachungaji wanaotumia nguvu zake na wale wasiozitumia nguvu zake
 
bora ufanye biashara nyingine na sio kunajisi dini kwa biashara zako huku ukihadaa jamii
 
sasa polisi zimekaa kimya inawezekana na mzazi pia .... mambo ya chama chi wala ...
 
Huyu Mama anahusika sana na kuharibu nguvu kazi...........

mteja%2B2.JPG
 
Huyo Harris Mwangalie vizuri usoni kabla haja pandwa na pepo na kuanza kucheza kucheza na wale akina mama utagundua ni mchungaji katika kanisa la Mama Rwakatare

Harris Kapinga si mchungaji wa kwa mama Rwakatare au kanisa jingine lolote...ni MC tu!
 
Siku ya wapendanao aliitisha semina iliyofanyika usiku.Sifa ni kwamba unakwenda hapo ukiwa na mwanamke bila kujali kama ni mkeo. Kiinglio shs 20,000/=.Alikodi vyumba pale New Afrikan hotel DSM na kiongozi wa Semina hiyo alikuwa Mzee wa Kanisa aitwaye Mwakitalu.
Mama Rwakatare alikuwa anauliza swali linalohusu mambo ya ndoa ukijibu vizuri unapata ofa ya kwenda kulala na huyo mwanamke New Afrika hotel.
Alikodi magari mengi ya kupeleka washindi huko!!!
Usiko huo wa wapendanao alikusanya pesa nyingi na watu wakalala New Afrika hotel.

Sita sahau ,siku alipokuja Askofu Kitonga pale Kwa mama Rwakatare .Benz la Mch Rwegasira wakati huo yupo hapo lilitumika kumupeleka Starlight hotel aliko kodishiwa chumba lakini Usiku Mama Rwakatare alinyata na kwenda kulala chumba kimoja na Askofu Wahudumu wa hapo wakashangaa sana!!
Mahubiri ya Askofu yalififia hadi leo !!!
Huyo ndiye mshauri wa ndoa wakati yeye hataki kukaa na mmewe!!!
Huwa ana usemi huu "If you can get milk why keep a cow?'

Heeeeeeeeeeeey...!!wonder shall neverendooo..,This is too much now.
 
This sounds totally misrepresented. it cannot be that way... I believe there might be issues, but not correctly reported. there are fake pastors as well as the Bible says, but it tell how, one can identify them, this is not one of the ways the bible suggested, but it is through, their fruits of their works. What has mama Rwakatare produced for the community for e.g? A true preacher cannot sponsor fornication. i have learned not to believe in most info. reported on media about men of God, because they always report bad ones or when things go wrong forsaking the good ones. Time will tell, let us wait and see.
 
I agree with you,najua wengi hawatakubaliana nawe lakini that is the fact, time will tell... and not only that mleta mada once ukweli ukidhihiri usichelee kurudi jamvini hata kama ni kukanusha tuhuma hizi..
 
Wewe Swai ambaye mtoto wako amebakwa na Mchungaji wa Mama Rwakatare peleka wote hao mahakamani kuanzia Mchungaji na Mama Rwakatare....Mama Rwakatare afunguliwe mashtaka kwa kufuga wachungaji wabakaji kanisani kwake...
tedo hivi mpaka kupeana namba za simu na kutumiana meseji za kualikana hotelini bado ni ubakaji? Hapo ni kwamba Swai hajaafiki hayo mahusiano na wala si tatizo la ubakaji
 
Last edited by a moderator:
..mmh ! kaka, its hard to believe anyway..

Kutoka kwa mleta post mwenyewe........

NB.
Mwaka 2004 Mch Shansi kutoka DRC alikamatwa na kupigwa PI na serikali baada ya kujificha kanisani kwa Mama Rwakatare huku akijihusisha na Ujambazi na madawa ya kulevya hadi leo hakuna aliyejifunza.

Lipo sakata la Bi Maimuna ambalo nitaeleza baadaye ila kwa mara ya kwanza naunga mkono kauli ya Rais Kikwete kuwa wapo Viongozi wa Dini ambao wanajihusisha na madawa ya Kulevya
 
Hayo nayo pamoja na ubaya wake na uwazi wa ushahidi yataisha hivi hivi........Hii ni Tanzania
 
Back
Top Bottom