Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Siku ya wapendanao aliitisha semina iliyofanyika usiku.Sifa ni kwamba unakwenda hapo ukiwa na mwanamke bila kujali kama ni mkeo. Kiinglio shs 20,000/=.Alikodi vyumba pale New Afrikan hotel DSM na kiongozi wa Semina hiyo alikuwa Mzee wa Kanisa aitwaye Mwakitalu.Huyu jamaa mi najua ni Mtangazaji wa Clouds na pia ni Mc wa maharusi nk..nk....Sasa nimeshangaa kusikia eti ni Mchungaji....Labda tusaidiane kushangaa....
ndio maana mama rwakatare anaichukia @jf
I see...
Halafu hivi huyo Harris Kapiga mtangazaji wa Clouds ni Mchungaji....? Hakyanani kwastail hii hatitapona...
Kweli maandiko yanasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa"
Huyo Harris Mwangalie vizuri usoni kabla haja pandwa na pepo na kuanza kucheza kucheza na wale akina mama utagundua ni mchungaji katika kanisa la Mama Rwakatare
Siku ya wapendanao aliitisha semina iliyofanyika usiku.Sifa ni kwamba unakwenda hapo ukiwa na mwanamke bila kujali kama ni mkeo. Kiinglio shs 20,000/=.Alikodi vyumba pale New Afrikan hotel DSM na kiongozi wa Semina hiyo alikuwa Mzee wa Kanisa aitwaye Mwakitalu.
Mama Rwakatare alikuwa anauliza swali linalohusu mambo ya ndoa ukijibu vizuri unapata ofa ya kwenda kulala na huyo mwanamke New Afrika hotel.
Alikodi magari mengi ya kupeleka washindi huko!!!
Usiko huo wa wapendanao alikusanya pesa nyingi na watu wakalala New Afrika hotel.
Sita sahau ,siku alipokuja Askofu Kitonga pale Kwa mama Rwakatare .Benz la Mch Rwegasira wakati huo yupo hapo lilitumika kumupeleka Starlight hotel aliko kodishiwa chumba lakini Usiku Mama Rwakatare alinyata na kwenda kulala chumba kimoja na Askofu Wahudumu wa hapo wakashangaa sana!!
Mahubiri ya Askofu yalififia hadi leo !!!
Huyo ndiye mshauri wa ndoa wakati yeye hataki kukaa na mmewe!!!
Huwa ana usemi huu "If you can get milk why keep a cow?'
I agree with you,najua wengi hawatakubaliana nawe lakini that is the fact, time will tell... and not only that mleta mada once ukweli ukidhihiri usichelee kurudi jamvini hata kama ni kukanusha tuhuma hizi..This sounds totally misrepresented. it cannot be that way... I believe there might be issues, but not correctly reported. there are fake pastors as well as the Bible says, but it tell how, one can identify them, this is not one of the ways the bible suggested, but it is through, their fruits of their works. What has mama Rwakatare produced for the community for e.g? A true preacher cannot sponsor fornication. i have learned not to believe in most info. reported on media about men of God, because they always report bad ones or when things go wrong forsaking the good ones. Time will tell, let us wait and see.
..mmh ! kaka, its hard to believe anyway..Huyu Mama anahusika sana na kuharibu nguvu kazi...........
tedo hivi mpaka kupeana namba za simu na kutumiana meseji za kualikana hotelini bado ni ubakaji? Hapo ni kwamba Swai hajaafiki hayo mahusiano na wala si tatizo la ubakajiWewe Swai ambaye mtoto wako amebakwa na Mchungaji wa Mama Rwakatare peleka wote hao mahakamani kuanzia Mchungaji na Mama Rwakatare....Mama Rwakatare afunguliwe mashtaka kwa kufuga wachungaji wabakaji kanisani kwake...
..mmh ! kaka, its hard to believe anyway..
NB.
Mwaka 2004 Mch Shansi kutoka DRC alikamatwa na kupigwa PI na serikali baada ya kujificha kanisani kwa Mama Rwakatare huku akijihusisha na Ujambazi na madawa ya kulevya hadi leo hakuna aliyejifunza.
Lipo sakata la Bi Maimuna ambalo nitaeleza baadaye ila kwa mara ya kwanza naunga mkono kauli ya Rais Kikwete kuwa wapo Viongozi wa Dini ambao wanajihusisha na madawa ya Kulevya