Mama Sabrina live on muosha rungu live show!

Duhh....[emoji15] [emoji15]
Hii lugha hii....[emoji45] [emoji45]
Bora nikomaage na kibantu tu aiseeeee
unaweza uka meza ulimi hiivi hivi, au ukavunjika vidole ukiwa unachapa.
 
Muosha rungu naona unataka kuosha rungu kwa mama sabrina[emoji12][emoji12][emoji12] (mawazo yangu tu mkuu[emoji846][emoji846])
Kuwaza sio dhambi comrade...[emoji12] [emoji12]
 
Wasichana wengi wanawapend wavulana kam wa kweny muvi za kikorea ila ukiwa mwanamke SAS unapenda mwanaume kam ..........najua mmenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma maelezo na majibu yako nikang'amua hayo. Ila napenda una moyo wa huruma na kusaidia watu, nadhani maisha uliyokulia yamekufunza hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nikiwa na pesa nyingi ndugu zangu watafaidi na jamaa wa karibu,,napenda kusaidia sana hata nikiwa na hiyo hiyo naweza kupa mi nikabaki sina kitu
Nna rafiki yangu wa kiUme akiishiwa tu atanitafuta tukiwa chuo hata kama sina pesa tutakula niliyonayo tunamaliza namuambia tutapata tu nyingine na kweli kesho natumiwa pesa hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…