Mama Sabrina live on muosha rungu live show!

Mama Sabrina live on muosha rungu live show!

Muosha rungu naona unataka kuosha rungu kwa mama sabrina[emoji12][emoji12][emoji12] (mawazo yangu tu mkuu[emoji846][emoji846])
Kuwaza sio dhambi comrade...[emoji12] [emoji12]
 
Kwanza awe mchangamfu ili nikiwa nae nisiboreke na nisipokuwa nae karibu nilie kabisa ,,
Awe smart kichwani ,na uwezo kutafuta pesa ili tuishi vizuri
awe mrefu kiasi na mwili wa mazoezi kiasi tu akivaa tishet au shati nichanganyikiwe ,
Awe anajua mapenzi maana hapa sasa ndipo napopenda na anipe muda wowote nikitaka hata kwenye kichaka ( Ushimen group o hapa linafanya kazi haswa
Tuwe kama kumbikumbi anapoenda nipo ,huwa sipendi kuwa kufuli mie
Wasichana wengi wanawapend wavulana kam wa kweny muvi za kikorea ila ukiwa mwanamke SAS unapenda mwanaume kam ..........najua mmenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma maelezo na majibu yako nikang'amua hayo. Ila napenda una moyo wa huruma na kusaidia watu, nadhani maisha uliyokulia yamekufunza hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nikiwa na pesa nyingi ndugu zangu watafaidi na jamaa wa karibu,,napenda kusaidia sana hata nikiwa na hiyo hiyo naweza kupa mi nikabaki sina kitu
Nna rafiki yangu wa kiUme akiishiwa tu atanitafuta tukiwa chuo hata kama sina pesa tutakula niliyonayo tunamaliza namuambia tutapata tu nyingine na kweli kesho natumiwa pesa hahaha
 
Back
Top Bottom