theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
oooh wish your dream comes true...🙂🙂🙂Watatu,mmoja awe wa kiume tu wengine wa kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
oooh wish your dream comes true...🙂🙂🙂Watatu,mmoja awe wa kiume tu wengine wa kike
Tunafanana [emoji23][emoji23][emoji23]Unajibu kama Ngabu.
OyeeeeeNimependa jibu lako mkuu kujikubali lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] flat screen oyeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unaitwa Mama Sabrina?Oyeeeee
unaweza uka meza ulimi hiivi hivi, au ukavunjika vidole ukiwa unachapa.Duhh....[emoji15] [emoji15]
Hii lugha hii....[emoji45] [emoji45]
Bora nikomaage na kibantu tu aiseeeee
Safi kumbe mm co pepekale ni saiz ang kabsa,ehe endlea kutiririka
Hahahahahah sawa mkuu nilikuwa natype haraka i mean kujiexpose japo sipo competent kwenye haka kalughaexpouse... ndiyo nini mkuu,kama hakuna haja yakuchanganya lugha usijilazimishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini we ni mwepesi wa kulia na ni mdhaifu sana kwenye mapenzi?Oyeeeee
Ni jina tuKwa nini unaitwa Mama Sabrina?
Umejuaje mkuu?Kwanini we ni mwepesi wa kulia na ni mdhaifu sana kwenye mapenzi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mtoto wa kike?Ni jina tu
SinaUna mtoto wa kike?
OK!Sina
Kuwaza sio dhambi comrade...[emoji12] [emoji12]Muosha rungu naona unataka kuosha rungu kwa mama sabrina[emoji12][emoji12][emoji12] (mawazo yangu tu mkuu[emoji846][emoji846])
Wallah....[emoji13] [emoji13]unaweza uka meza ulimi hiivi hivi, au ukavunjika vidole ukiwa unachapa.
Nimesoma maelezo na majibu yako nikang'amua hayo. Ila napenda una moyo wa huruma na kusaidia watu, nadhani maisha uliyokulia yamekufunza hivyo.Umejuaje mkuu?
Wasichana wengi wanawapend wavulana kam wa kweny muvi za kikorea ila ukiwa mwanamke SAS unapenda mwanaume kam ..........najua mmenielewaKwanza awe mchangamfu ili nikiwa nae nisiboreke na nisipokuwa nae karibu nilie kabisa ,,
Awe smart kichwani ,na uwezo kutafuta pesa ili tuishi vizuri
awe mrefu kiasi na mwili wa mazoezi kiasi tu akivaa tishet au shati nichanganyikiwe ,
Awe anajua mapenzi maana hapa sasa ndipo napopenda na anipe muda wowote nikitaka hata kwenye kichaka ( Ushimen group o hapa linafanya kazi haswa
Tuwe kama kumbikumbi anapoenda nipo ,huwa sipendi kuwa kufuli mie
Siku nikiwa na pesa nyingi ndugu zangu watafaidi na jamaa wa karibu,,napenda kusaidia sana hata nikiwa na hiyo hiyo naweza kupa mi nikabaki sina kituNimesoma maelezo na majibu yako nikang'amua hayo. Ila napenda una moyo wa huruma na kusaidia watu, nadhani maisha uliyokulia yamekufunza hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app