Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nitashangaa kama yule Mushaija wa Bukoba alivyoshangaa kuhusu kesi yake kuendeshwa na Hakimu Mukazi.Mimi nitashangaa
Uelewa mdogo mkuu,ndio mana wakipewa sukari na mchele wanamchagua kwa kigezo cha ukarimuKila mtu akiongea vizuri tunawaza awe rais!! Mbona watu wengi wanajipambanua vyema zaidi hata ya SK.
Tanzania bhana, ukimvutia tu mtu katika maongezi hasa kijamii nk basi unaonwa kwenye jicho la urais.
Yeyeto huwezakuwa hata wwe ukitakaMama salma awe raisi amuongoze nani?
Hii nchi kama ni ya wajinga basi mama salma atapita kua raisi
Trump hakuwa na vigezo vya kuvutia kuwa raisi ila gender ndo ilimbebaYeyeto huwezakuwa hata wwe ukitaka
Natazama hapa mahojiano Mubashara Clouds TV kipindi cha 360 wakimuhoji huyu Mbunge na Mhe 1st Lady Mstaafu.
Ukweli ni kwamba ametulia sana akijieleza kama Mwalimu wa hesabu shule ya Msingi alieendelea kufundisha ata Mume wake alipokuwa Waziri.
Mara zote anasisitiza kuhusu malezi ya Familia ndio msingi wa maendeleo ya Taifa endapo jamii itazingatia kuwa watoto ni wa jamii nzima kwa kauli mbiu kuwa "MTOTO WA MWENZIO NI MWANAO,MLINDE"
Tukijenga watoto wenye nidhamu na adabu Taifa litaendelea
Mama huyu kumbe ameanzisha shule mbili za sekondari Wama Nakayama -Nyamisati na WamaSharifu -Lindi zilizoongoza kimkoa zikisomesha watoto wakike bure na wakipewa kila kitu muhimu.
Uongozi wa kijiji toka nchi nzima unakaa nakipitisha mtoto wa kike aliemaliza darasa La saba ambae ni yatima ama anaishi mazingira magumu bila kujali kabila lake wala Dini yake
Shule inamchukua anaishi shuleni hadi anapomaliza na ikibidi kwenda likizo anapewa nauli ya kwenda na kurudi na akifika kijijini anapokelewa na uongozi wa kijiji unaopewa jukumu la kumlinda
Baadhi ya mabinti waliopitia shule zake wameshahitimu vyuo vikuu na wapo makazini sasa.
Ukifatilia siasa za nchi zilizoendelea Mara nyingi wagombea Urais wa nchi kama Marekani wamekuwa wakielezea Sera zao katika kushindana nani akipewa nchi watoto na familia zitakuwa bora zaidi,kumbuka ile hotuba ya Obama maarufu alivyozunguzia mambo ya uzazi,bima ya matibabu ilivyompa umaarufu.
Kuwa Wamarekani wanachagua Rais ambae wanauhakika watoto wao watakuwa salama na watatimiza Malengo yao.
Katika dunia tuendayo lazima kuamini kuwa siku moja nchi yetu itaendeshwa na Mwanamke kwa kuwa Wanawake wanahaki hiyo,wanahuruma na ndio Mama zetu,Sasa tuna makamu wa Rais, basi ipo siku tutapata Rais MwanaMama
WANAWAKE WANAWEZA hasa unapokuwa na Mwanamke ametulia kama Mama Salma Kikwete ambae ni Mwalimu na Tayari ameishi Ikulu kwa Miaka 10
Hongera sana Mama Salma Kikwete,baada ya Rais wetu wa sasa kumaliza Miaka 10 yake,Mwenyezi akikusaidia ukiwa Rais wetu sitashangaa zaidi ya Kukuombea Mungu uwe kiongozi wa busara zaidi ya Zile za Mzee Jakaya.
SITASHANGAAAAA.
View attachment 1332733View attachment 1332734
Sent using Jamii Forums mobile app
we fala kweliNatazama hapa mahojiano Mubashara Clouds TV kipindi cha 360 wakimuhoji huyu Mbunge na Mhe 1st Lady Mstaafu.

Ata Mimi MAGUFULI akiendelea naunga MkonoWewe ni mchawi na unafaa kuchomwa moto kabisa.... Hufai kuishi. Umewaza kichawi na kama umetumwa mwambie aliyekutuma umetukuta na sisi tupo tumejaa tele.kwa akili hizi ndo maana tunaona bora Magufuli aendelee tu.
Nijuavyo ukiwa mama namba moja huwa unalipwa kiasi kikubwa cha allowance kama 1st ili ashiriki baadhi ya majikumu.Uyu mama amesomesha watoto wengi sana hasa wengi chuo wamepita udom wengine walikuwa wanaishi na virusi vya ukimwi lakini wako makazini sasa iba unatoa kwa jamii sio kuiba halafu unaficha chote.
Bora ya salma kuliko dr chuma kwenye reasoningTrump hakuwa na vigezo vya kuvutia kuwa raisi ila gender ndo ilimbeba
Mama salma akisimama hata na nabii tito mi ntampa kura tito
Natazama hapa mahojiano Mubashara Clouds TV kipindi cha 360 wakimuhoji huyu Mbunge na Mhe 1st Lady Mstaafu.
Ukweli ni kwamba ametulia sana akijieleza kama Mwalimu wa hesabu shule ya Msingi alieendelea kufundisha ata Mume wake alipokuwa Waziri.
Mara zote anasisitiza kuhusu malezi ya Familia ndio msingi wa maendeleo ya Taifa endapo jamii itazingatia kuwa watoto ni wa jamii nzima kwa kauli mbiu kuwa "MTOTO WA MWENZIO NI MWANAO,MLINDE"
Tukijenga watoto wenye nidhamu na adabu Taifa litaendelea
Mama huyu kumbe ameanzisha shule mbili za sekondari Wama Nakayama -Nyamisati na WamaSharifu -Lindi zilizoongoza kimkoa zikisomesha watoto wakike bure na wakipewa kila kitu muhimu.
Uongozi wa kijiji toka nchi nzima unakaa nakipitisha mtoto wa kike aliemaliza darasa La saba ambae ni yatima ama anaishi mazingira magumu bila kujali kabila lake wala Dini yake
Shule inamchukua anaishi shuleni hadi anapomaliza na ikibidi kwenda likizo anapewa nauli ya kwenda na kurudi na akifika kijijini anapokelewa na uongozi wa kijiji unaopewa jukumu la kumlinda
Baadhi ya mabinti waliopitia shule zake wameshahitimu vyuo vikuu na wapo makazini sasa.
Ukifatilia siasa za nchi zilizoendelea Mara nyingi wagombea Urais wa nchi kama Marekani wamekuwa wakielezea Sera zao katika kushindana nani akipewa nchi watoto na familia zitakuwa bora zaidi,kumbuka ile hotuba ya Obama maarufu alivyozunguzia mambo ya uzazi,bima ya matibabu ilivyompa umaarufu.
Kuwa Wamarekani wanachagua Rais ambae wanauhakika watoto wao watakuwa salama na watatimiza Malengo yao.
Katika dunia tuendayo lazima kuamini kuwa siku moja nchi yetu itaendeshwa na Mwanamke kwa kuwa Wanawake wanahaki hiyo,wanahuruma na ndio Mama zetu,Sasa tuna makamu wa Rais, basi ipo siku tutapata Rais MwanaMama
WANAWAKE WANAWEZA hasa unapokuwa na Mwanamke ametulia kama Mama Salma Kikwete ambae ni Mwalimu na Tayari ameishi Ikulu kwa Miaka 10
Hongera sana Mama Salma Kikwete,baada ya Rais wetu wa sasa kumaliza Miaka 10 yake,Mwenyezi akikusaidia ukiwa Rais wetu sitashangaa zaidi ya Kukuombea Mungu uwe kiongozi wa busara zaidi ya Zile za Mzee Jakaya.
SITASHANGAAAAA.
View attachment 1332733View attachment 1332734
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QHUOTE]
Asha Rose Migiro alikuwa mwalimu wa chuo kikuu pia aliwahi kuwa naibu katibu mkuu UNO na vilevile alishika wadhifa wa uwaziri hapa Tz je kinyanganyiro cha uraisi 2015 aliishia wapi ukipata jibu tuendelee na mada yetu.
HahahahahaaaaaMimi nitashangaa