majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Hapo kweli ntakubaliana na Trump mara infinite kuwa Africa na hasa TZ ni "shitholes"...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye kipengele cha reasoning anakaa yeyote ila ishu ya uongozi hususani katika sekta nyeti kama raisi haifai kukaliwa na mwanamkeBora ya salma kuliko dr chuma kwenye reasoning
Kwenye kipengele cha reasoning anakaa yeyote ila ishu ya uongozi hususani katika sekta nyeti kama raisi haifai kukaliwa na mwanamke
Wanaume wote tuliopo humu nchini tunaanzaje kumruhusu shemeji aongoze nchi?
Mimi hata awe mama yangu simpi kura
It's Scars
Of-course!Kwani magufuli ana ubora gani? ni bora hata huyo Salma kuliko kituko kilichopo wakati huu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipengele hicho hizo dini zimepatia nawapa pongezi kwa hilo maana hai-make sense wanaume wapo halafu unaongozwa na mwanamkeMkuu sasa unazungumzisje na dini smbszo zinskataza mwanamke asiwe kiongozi wa wanaume?
Je dini zilikuwa sshihi kws muono wako kukstaza hivi au ilifanya ubaguzi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipengele hicho hizo dini zimepatia nawapa pongezi kwa hilo maana hai-make sense wanaume wapo halafu unaongozwa na mwanamke
Na wewe una maoni gani kwa dini ambazo zinapalilia swala la mtoto wa miaka tisa kuolewa na jibaba wa miaka hamsini kua ni jambo halali?
It's Scars
Hahahaaayangu naona kuwa ni jambo halina tatizo kama ambavyo hakuna tatizo kwa mzee wa miaka 70 kumuoa binti wa miaka 18 range ya miaka 52,na yule mzee wa miaka 50 kumuoa binti wa miaka 9 range ni miaka 41.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa
Dini ingesema jambo hilo ni baya ungetumia vigezo hivyo kukanusha kua sio baya au ungekubalia nayo kua ni baya?
It's Scars
Naona unafurahi mkuu hhhhhh.
Watu wanatakiwa wajue kuwa kufuata dini sawa sawa ni kufanya zuri na ukalisema zuri kwa sababu dini imesema zuri ,na kuacha baya na kusema ni baya kwa sababu dini imesema baya.
Ndiyo maana nikasema laiti dini ingeniruhusu kumuoa mwanaume mwenzangu na ingesema ni jambo zuri basi ningeoa mwanaume mwenzangu au kuolewa pia.lakini nalichukia jambo hilo kwa sababu ya dini tu.
Dini ingeniruhusu kula nguruwe ningekula vizuri,ila sili kwa sababu dini imesema nisile.
Kwa sababu kama unaacha jambo kwa sababu unaliona baya na sio kwa sababu ya dini imesema baya na hapo hapo unasema wewe ni muumini wa dini hiyo basi hapo wewe hufuati dini bali unajifuata mwenyewe,na hapo hakuna mantiki ya kujiita muumini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhaha eti noma mkuu.
Kwani magufuli ana ubora gani? ni bora hata huyo Salma kuliko kituko kilichopo wakati huu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Magufuli tutamlilia miaka 2 baada ya kuondoka ikulu.ni Rais bingwa sana.kwa kuwa tuna heshimu demokrasia ndio maana baada ya miaka 10 atapisha.ikitokea tunataka Mwanamke sitashangaa akiwa mama salma
Una wivu??ndio maana Marekani wanachaguaga baba na mtoto kuwa marais maana wanajua wizi unapungua na ni rais watu kupata elimu ya UraisBata linarudi