Uchaguzi 2020 Mama Salma Kikwete akiwa Rais ajaye sitashangaa

Kila mtu akiongea vizuri tunawaza awe rais!! Mbona watu wengi wanajipambanua vyema zaidi hata ya SK.

Tanzania bhana, ukimvutia tu mtu katika maongezi hasa kijamii nk basi unaonwa kwenye jicho la urais.
Uelewa mdogo mkuu,ndio mana wakipewa sukari na mchele wanamchagua kwa kigezo cha ukarimu
 
Sasa tuanze kuzoa form 4 leavers wawe Marais! Wacha utani!
 
Wewe ni mchawi na unafaa kuchomwa moto kabisa.... Hufai kuishi. Umewaza kichawi na kama umetumwa mwambie aliyekutuma umetukuta na sisi tupo tumejaa tele.kwa akili hizi ndo maana tunaona bora Magufuli aendelee tu.

 
we fala kweli
 
Uyu mama amesomesha watoto wengi sana hasa wengi chuo wamepita udom wengine walikuwa wanaishi na virusi vya ukimwi lakini wako makazini sasa iba unatoa kwa jamii sio kuiba halafu unaficha chote.
Nijuavyo ukiwa mama namba moja huwa unalipwa kiasi kikubwa cha allowance kama 1st ili ashiriki baadhi ya majikumu.
Jee huyu wa sasa anajishughulisha na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump hakuwa na vigezo vya kuvutia kuwa raisi ila gender ndo ilimbeba

Mama salma akisimama hata na nabii tito mi ntampa kura tito
Bora ya salma kuliko dr chuma kwenye reasoning
 
Kitakachomponza Umwera. Kabila la Membe, Ni wakabila Kama wasukuma, na Ni wambea Sana. Matrinial society, wanajisikia Sana Ni wabaguzi Sana.

Naandika hivi nikiwa Lindi kijijini milola mpakani na rwangwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…