kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu nitashukuru
Haya hilo umepita. Haya tuambie kuhusu hotuba zake. Pamoja na kuandikiwa bado hata kusoma taabu. Kwa kweli abajitahidi sana ila uwezo wake ni ndogo sana. Sasa kumbe afanyeje? Imevaki kuvaa tu !!!
Mke wa Rais ambaye hajavuma na havumi ni Mke wa Mwinyi,hata jina lake silifahamu
Ukishakuwa na pesa utapendeza tu dada;
huoni hata huyo mkibosho mwenzetu usoni kama analia muda wote
lakini kwa ajili ya pesa anapendeza tu.
Pesa ni sabuni ya roho.
Mkibosho yupi huyo ambaye pamoja na makeup bado zimedunda hata huyo mama Salma asingejiremba bado angependeza tu.
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu nitashukuru
tuweke itikadi pembeni..tumsifu anapostahili..
Alikuwa maarufu sana mkuu naona kipindi mumewe yuko madarakani ww ulikuwa shule ya vidudu anaitwa BI SITI MWINYI...
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa
Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli
anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama
kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu
nitashukuru
Mashallah anapendeza sana,chezea Lindi wewe?