Mama Salma Kikwete

Mama Salma Kikwete

Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu nitashukuru

Na ni mzuri pia kuliko wenzake wote
 
Last edited by a moderator:
Nimeamini jukwaa bila picha halipendezii haswaaaaa,shukran kwa pichaaa
 
halafu ana ki-baby face hata makeup inakaa inatulia. wale wengine kidogo sura ni nzito na ngumu...hata ukitumia makeup kopo zima haisaidii
 
Mwenye nchi mtataaa, anajua kuchagua, kitu baby faceeeeee! .............oyeeeee!
 
Haya hilo umepita. Haya tuambie kuhusu hotuba zake. Pamoja na kuandikiwa bado hata kusoma taabu. Kwa kweli abajitahidi sana ila uwezo wake ni ndogo sana. Sasa kumbe afanyeje? Imevaki kuvaa tu !!!
 
Haya hilo umepita. Haya tuambie kuhusu hotuba zake. Pamoja na kuandikiwa bado hata kusoma taabu. Kwa kweli abajitahidi sana ila uwezo wake ni ndogo sana. Sasa kumbe afanyeje? Imevaki kuvaa tu !!!

Sio kwamba hajui kusoma, huyu ni mwalimu anataka kuhakikisha hadhira imeelewa. me napenda sana kusikiliza hotuba zake, kama anafundisha vileeee!
Baba Rais hongera zakooo!
 
Mke wa Rais ambaye hajavuma na havumi ni Mke wa Mwinyi,hata jina lake silifahamu

Alikuwa maarufu sana mkuu naona kipindi mumewe yuko madarakani ww ulikuwa shule ya vidudu anaitwa BI SITI MWINYI...
 
Walimu wana uzoefu kuhusu hili: wanafunzi 'majiniaz' uvaaji wao hovyo hawajui kuvaa hata kama wana uwezo wa kufanya hivyo kinyume chake 'mburula' huwa wanatokezea smart!
Maana yake: kila mtu anafahamu jinsi ya ku-defend udhaifu wake! Sipati picha huyu mama anavyosoma hotuba angekuwa pia uvaaji wake na sura vingekuwa vya kawaida?
 
She rocks.
Mwanamke ukivaa hivi hata mmeo anatembea kifua mbele.
 
Ukishakuwa na pesa utapendeza tu dada;
huoni hata huyo mkibosho mwenzetu usoni kama analia muda wote
lakini kwa ajili ya pesa anapendeza tu.

Pesa ni sabuni ya roho.
 
Ukishakuwa na pesa utapendeza tu dada;
huoni hata huyo mkibosho mwenzetu usoni kama analia muda wote
lakini kwa ajili ya pesa anapendeza tu.

Pesa ni sabuni ya roho.

Mkibosho yupi huyo ambaye pamoja na makeup bado zimedunda hata huyo mama Salma asingejiremba bado angependeza tu.
 
asee...safi sana mama salma kikwete

back to siasa..hilo ina kikwete akati na type..i was...u know...feeling some typa way
 
Ni mama mwenye pesa;
lakini sura ndo kama kalamba ndimu.
je angekuwa lofa kama sie huku angekuwaje.

Mkibosho yupi huyo ambaye pamoja na makeup bado zimedunda hata huyo mama Salma asingejiremba bado angependeza tu.
 
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu nitashukuru

True, anajua kuvunja kabati. Tyta umetisha!
 
Kuna siku nilikuuliza swali kule MMU hizi picha fasta fasta huwa unazitoa wapi
Ila nimukukubali, uko juu

tuweke itikadi pembeni..tumsifu anapostahili..
 
Kulikuwa na Khadija Mwinyi, bi mkubwa na Sitti Mwinyi alikuwa bi mdogo. Khadija hakuwaga na makuu maskini, mwenyewe alikuwaga anajivalia kawaida tu ukizingatia yeye ziara zake zilikuwa za mikoani, sitti ziara za ulaya ndio zilikuwa zake

Alikuwa maarufu sana mkuu naona kipindi mumewe yuko madarakani ww ulikuwa shule ya vidudu anaitwa BI SITI MWINYI...
 
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa
Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli
anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama
kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu
nitashukuru

Mashallah anapendeza sana,chezea Lindi wewe?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom