Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Mama Janet sio mjinga, naamini hapo kuna ujumbe ametuma.
I couldn't have said it any better, myself
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Janet sio mjinga, naamini hapo kuna ujumbe ametuma.
Mama D akiacha biasness ni mtu mmoja smart sana.... mama D mbona unaonekana kuwa smart sana upstairs how comes unauliza swali la ovyo kiasi hiki? Iko hivi, kuchanjwa haikufanyi unapovuta hewa yenye virusi visiingie mwilini mwako ila kwa kuwa una kinga havitakuathiri.
Ukivipumua unasambaza kwa wengine kama kawaida na wasio na kinga kama yako ole ni wao! Naona ulitaka kujenga hoja ya kipumbavu "kinga haifanyi kazi" ila ukweli ndio huo! Vaa barakoa uwakinge wengine huo ndio ubinaadamu.
NaamNimependa akili ya kumvalisha mama Janet Barakoa..
Pretty not her idea..
Ni set up ya kuhamisha magoli taratibu(strategic good move)..
Kwa nini asingevaa since then and why now?
Mama Samia kuvaa barakoa si suala la kukurupukia, anatakiwa alihandle with great wisdom.
Kuna Public perception ambayo tayari imeshatengenezwa na the late kuhusu korona, ambayo ilipata uungwaji mkono si tu na wananchi ila pamoja na safu yake yote ya uongozi.
Kwa maoni yangu kubadili huu mtizamo si suala la kukurupukia...
Anaweza kuvaa barakoa hata sasa, but guess what pro-magufuli watamuona kama msaliti na aliyekuwa na nidhamu ya woga sana. Which is not a good starting point.
Na endapo atakurupukia hiyo barakoa, huenda kuna hatihati ya kuligawa taifa badala ya kuliunganisha mapema.
Nawasilisha
Unampigia mbuzi gitaa... inawezekana yeye Mh. Rais ana kinga dhidi ya Corona but as a leader anatakiwa kuonesha uongozi dhidi ya Corona kunusuru mamilioni ya watanzania wengine ambao pengine hawana kinga kama zake. Kinachoonekana ni kuipuuza Corona na, as an icon, wengine watamwiga na kuishia kuteketea!
Wasaidizi wa Rais Samia wanapaswa kujua kuwa usalama sio kuvaa miwani nyeusi na kuzungusha shingo huku na kule.
Sio jasusi huyu maku, alikuwa dereva pale TISS akafukuzwa kwa ajili ya umbeya. Yani anaokoteza umbeya anachapisha kwenye page yake kuhusu kifo cha rais hata secretary pale Mzena alifahamu.Sawa mkuu ila ume block sana watu kule Twitter. Punguza kujishaua jasusi mstaafu
YAani mmenpoteza meko ila bado tu mnaendelea kushupaza shingo.Zile kauli na unabii wa Melinda Gate March 2020 zinatolewa chadema March 2021 sijajui kama hizo fikra zimeama bila malipo
Kwa ujinga huu na yeye atakwenda.Unafikiria mama Samia yeye hajui siri alizozijua mzee wetu Magufuli juu ya huu ulaghai wa korona
akienda wewe utapata nini? kama ni maisha yataendelea kukuchapa mpaka unaingia kaburini kwa sababu hauna akili.Kwa ujinga huu na yeye atakwenda.
Umri wake ni miaka 61.
Sasa kama kachoka kama meko aliyedanganywa na gwajima basi aendelee
No comment. Basi mwambie asivae barakoa akbatiane na kila mtu.akienda wewe utapata nini? kama ni maisha yataendelea kukuchapa mpaka unaingia kaburini kwa sababu hauna akili.
tafuta maisha upunguze nongwa acha maigizo ya jf upo uchiNo comment. Basi mwambie asivae barakoa akbatiane na kila mtu.
Yeye ni mungu mdogo kama meko
Nishakujua ila Ngoja nikutie kwenye ignore list maana unajifanya sana wewe ni mfia meko.tafuta maisha upunguze nongwa acha maigizo ya jf upo uchi
wewe ni mganga njaa tu unipunguzii lolote ukiniweka ignore list ,najua una stress za maisha na akili haunaNishakujua ila Ngoja nikutie kwenye ignore list maana unajifanya sana wewe ni mfia meko.
Walivyomuua ndugu yangu ben saanane ulifurahi sana si eti ee?
Tangu lini mmeanza kumuiga Lissu? Kwa sababu Lissu alifanya makosa wakati wa kampeni haina maana wote tumuige.Lisu wakati wa kampeni alikua anavaa barakoa?au ni unafiki tu unawasumbua
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).
But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...
Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.
Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.
I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.
I stand to be corrected.