kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
jk mzee wa starehe,kapozi kistarehe alituongoza kistarehe,hana njaa njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mlidhani kuwa mtampangia imekula kwenu! Ni mama anayejisimamia!! Alijua Dunia nzima itaangalia uso wake! Na hilo ndilo jibu alilowapa ninyi mnaolazimisha Dunia iamini kuwa Tanzania tumeelemewa na corona!! Bi Samia Suluhu Hassan Hapangiwi!! Jibu ni kwamba hatuna tatizo kivile. Hajakataza mtu kuvaa barakoa!! Si ajabu hata wewe hapo umeandika uzi huu wala huvaagi barakoa!Wacha wafu wazike wafu wenziwe
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).
But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...
Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.
Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.
I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.
I stand to be corrected.
Yawezekana alichanjwa placebo! yaani maji matupu ili kuwaingiza mkenge watu wengine!! Vinginevyo hata chanjo yenyewe haiamini!Joe Biden kachanjwa lakini muda wote kavaa barakoa.
Vaa mwenyewe! Watu wazima tusipangiane!Vaa barakoa weweeeee
Kwa jinsi ugonjwa huo unavyoelezeka, muda unaotumia kumchukua mtu,njia unazoweza kuambukizwa na muda uliokaa Tz tangu uingie,jinsi ambavyo shughuli zinaendelea kila siku, na ukaangalia njia zilizotumika kujikinga nao tz utagundua kuwa tayari nguvu ya Mwenyezi Mungu zinafanya kazi.Mkuu inahitaji ushike huko usoni baada ya kumbe na mikononi.
Ni kweli kuwa sote tunapokuwa na mabarakoa uwezekano wa kuambukizana unapungua zaidi.
Madame President ni vyema avae barakoa.
Kwa kweli ni hatari kubwa na hasa mpaka huu msiba uishe, mola wetu mbona atunusuru tu?
Tuzidi kumuomba Mwenyezi Mungu afubaze virusi hivyo na dunia nzima ijue kuwa kuna nchi inamtegemea Mungu ambaye wao wamemsahau na kumpuuza kwa maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu. Ila tahadhari pia ni muhimu.Kwa jinsi ugonjwa huo unavyoelezeka, muda unaotumia kumchukua mtu,njia unazoweza kuambukizwa na muda uliokaa Tz tangu uingie,jinsi ambavyo shughuli zinaendelea kila siku, na ukaangalia njia zilizotumika kujikinga nao tz utagundua kuwa tayari nguvu ya Mwenyezi Mungu zinafanya kazi.
MUNGU ATUSAIDIE.
Na jambo la kusikitisha, viongozi wanatakiwa kumfariji mama Janet, mjane kwa kuvaa barakoa kama yeye alivyofanya,badala ya kutovaa kwa ajili ya kumuenzi Magufuli ambaye ametangulia mbele za haki!Nikweli hajaanza leo kutovaa barakoa mama D, lakini hata akianza leo sio mbaya, hali huku mtaani sio nzuri, najua wao wanajua zaidi yangu hali ilivyo lakini wanasababu zao ambazo gharama zake zimefikia pakubwa, Mama Janet sio mjinga, naamini hapo kuna ujumbe ametuma.
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).
But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...
Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.
Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.
I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.
I stand to be corrected.
Jibu jepesi kwa ushauri mjaarabu. Rais is a public figure, kumuuguza Rais siyo mchezo.once bitten twice shy! There is no way lazima avae barakoa.Kwani ndio leo ameanza kutokuvaa barakoa?
Tarehe 19.05.2020 wakati Tanzania ikikabiliwa na wimbi la kwanza la janga la korona, nilichapisha uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mustakabali wa urais wa Magufuli kwa jinsi "alivyozembea" kushuguhulikia janga hilo. Na katika kuhitimisha uchambuzi huo wa kurasa 23 nilibashiri kuwa janga hilo lingegharimu urais na uhai wake. You know the rest of the story. Kanuni za JF zinakataza kuweka links, otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).
But I'm not here to take credits bali kutanabaisha kuwa I am disappointed kuona Mama Samia akiendeleza "ubishi" wa mtangulizi wake katika handling ya janga hilo. I know mie si mtu sahihi kumshauri Rais wetu lakini yeye na takriban kila Mtanzania anafahamu vizuri the price late Magufuli paid kwa negligence kwenye kushughulikia janga hilo. As much as nisingependa kuwa "prophet of doom," Mama Samia anapaswa kuchukua hatua sasa, vingenevyo...
Pongezi nyingi kwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kwa "kuonyesha uongozi licha ya kuwa mstaafu."
View attachment 1731079
Na pongezi pia kwa mama Janeth Magufuli ambaye leo amewasili Dodoma akiwa na barakoa.
View attachment 1731080
Mama Samia anapaswa kuelewa kuwa licha ya dunia kumwangalia kwa makini endapo atachukua hatua stahili kuinusu Tanzania dhidi ya janga hilo, lakini pia anaangaliwa na mamilioni ya Watanzania kuwapa leadership katika kuikabili Korona.
Kuna watakaosema ni mapema mno "kulaumu," lakini when it comes to COVID, timing is everything.
I'm not expecting much from her, kwa sababu tatizo zaidi ni CCM na sio mtu gani anaongoza nchi, lakini hili la barakoa lipo ndani ya uwezo wake.
I stand to be corrected.
Atakwambia alikua hakai nyumba 1 na Mama Janet, walikua wanaingia mlango mmoja ila ndani ya ule mlango kuna nyumba ingine mama janet anaenda na Mh. anaenda.Ooh uzi mzima unalia lia tu. Okay kesho atavaa mkuu. Kama mzee kavuta kwa corona mbona mkewe yupo fit au haiambukizi?(nukuu hapo juu kuwa corona imemgharimu uhai na urais)
WaTz tuchukueni hatua za kujikinga na Covid-19 ikiwa pamoja na kuvaa barakoa. Uzembe na kupuuuza kutatumaliza. Dawa ya kiburi ni kaburi.Evarist Chahali Kama hofu yako ni maambuki ya COVID 19 fanya kitu chochote kilicho ndani ya uwezo wako kutoa suluhu kwa hao watanzania unaowaongelea hapa akiewemo rais wetu. Kumbuka hakuna rais wa nchi bila wananchi...