CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
You're the real meaning of Great ThinkerEvarist Chahali nani aliyekwambia Barakoa ndo inakinga Corona ? au akili zako na uwezo wako wa ufahamu ndo umeishia hapo?....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You're the real meaning of Great ThinkerEvarist Chahali nani aliyekwambia Barakoa ndo inakinga Corona ? au akili zako na uwezo wako wa ufahamu ndo umeishia hapo?....
Kwani nimebadilika nini mpaka avae barakoa?ukivaa wewe inatoshaI stand to be corrected.
Hiki ulichoandika hapa ni sahihi kabisa, anza na familia yako, ndugu zako, ukoo wako upande wa baba na wa mama. Tumia uwezo wako wote kuhakikisha wamekuelewa na wanazingatia maana Dawa ya kiburi ni kaburi kama ulivyosema.WaTz tuchukueni hatua za kujikinga na Covid-19 ikiwa pamoja na kuvaa barakoa. Uzembe na kupuuuza kutatumaliza. Dawa ya kiburi ni kaburi.
Pole mwaya😭💔💔💔💔Msitupigie kelele na mibarakoa yenu! Sasa tumeamua na neti hatutaki kutumia tena eti sijui kukinga malaria upuuzi mtupu!
Tuacheni tushavurugwa na msiba, ebo!
Asante aysee...Pole mwaya😭💔💔💔💔
Kero yao kilio chaoAsante aysee...
Hawa vibaraka wanakera Sana. Ujuaji mwingii
Nimependa pale ulipomuonesha kumbukumbu Rais wa moyo wao Tundu Lissu akichanja mbuga kwenye mikusanyiko bila barakoa.Kero yao kilio chao
Yajayo yanafurahisha
Nimependa pale ulipomuonesha kumbukumbu Rais wa moyo wao Tundu Lissu akichanja mbuga kwenye mikusanyiko bila barakoa.
Usidharau kila taarifa unayoambiwa. Hao ni watu na wanaishi na watu.Atakwambia alikua hakai nyumba 1 na Mama Janet, walikua wanaingia mlango mmoja ila ndani ya ule mlango kuna nyumba ingine mama janet anaenda na Mh. anaenda.
Let this people talk,you can not stop them "we can only ignore them"
Good analysis!!!Nimependa akili ya kumvalisha mama Janet Barakoa..
Pretty not her idea..
Ni set up ya kuhamisha magoli taratibu(strategic good move)..
Kwa nini asingevaa since then and why now?
Mama Samia kuvaa barakoa si suala la kukurupukia, anatakiwa alihandle with great wisdom.
Kuna Public perception ambayo tayari imeshatengenezwa na the late kuhusu korona, ambayo ilipata uungwaji mkono si tu na wananchi ila pamoja na safu yake yote ya uongozi.
Kwa maoni yangu kubadili huu mtizamo si suala la kukurupukia...
Anaweza kuvaa barakoa hata sasa, but guess what pro-magufuli watamuona kama msaliti na aliyekuwa na nidhamu ya woga sana. Which is not a good starting point.
Na endapo atakurupukia hiyo barakoa, huenda kuna hatihati ya kuligawa taifa badala ya kuliunganisha mapema.
Nawasilisha
Evarist Chahali Kama hofu yako ni maambuki ya COVID 19 fanya kitu chochote kilicho ndani ya uwezo wako kutoa suluhu kwa hao watanzania unaowaongelea hapa akiewemo rais wetu. Kumbuka hakuna rais wa nchi bila wananchi
Na nikukumbushe makusanyiko ya watu bila barakoa wala sanitzer yapo nchi nzima. Hata ukimuuliza Tundu atakuambia alikua anaingia hadi kariakoo bila barakoa.
Labda sababu wewe na ukoo wako mnaishi ughaibuni ndio maana hujui. ila kama una ndugu huku waulize vile wanaishi watakusaidi labda ili uweze kulisaidia taifa lako
Kama nia yako ni COVID 19 acha kulalamika fanya kitu chochote kilicho ndani ya uwezo wako kutoa suluhu kwa hao watanzania unaowaongelea hapa.
Na kwa msaada zaidi nikukumbushe makusanyiko ya watu bila barakoa wala sanitzer yapo nchi nzima.
Labda sababu wewe na ukoo wako mnaishi ughaibuni ndio maana hujui..... ila kama una ndugu huku waulize vile wanaishi watakusaidi labda ili uweze kulisaidia taifa lako
Hii ni Kawe leo
Hii ni Mwenge leo
Kariakoo 5 months ago
Hii ndio hali halisi
Group linalomzunguka ndio linampumbaza namshauri alitimue lote... Akae sana na Kikwete atamsaidia Kikwete hajawahi Shindwa vita yeyote even Marehemu alimtafuta sana akaambiwa utaondoka wewe Jk Mtoto wa Mjini