Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

Evarist Chahali nani aliyekwambia Barakoa ndo inakinga Corona ? au akili zako na uwezo wako wa ufahamu ndo umeishia hapo?

Corana haiambukizi kwa njia ya hewa yani kupumua corona virus ili kutoka kwa mwanadamu mmoja kwenda kwa mwingine kunaitajika kuwepo na third part ambapo ni contaminated area ambapo victim anagusa

Katika njia zote ambazo wataalamu wa afya wanasema zote zinalenga kitu kimoja tu ambacho ni maji maji yanatoka kwa njia ya mdomo na pua na ndo njia ambazo virusi wa corona wanaingia kupitia sehemu hzo. Je huoni kwamba tunavaliswa barakoa hili kutuzuia tusiguse pua au mdomo? kwani akiwa na hand sanitizer hawezi kuwa protected dhidi ya virusi vya corona? kama target area ni kushika midomo na pua?

Kingine tazama madhara ya kuzuia Respiratory system na Gas exchange hasa kwa wenye magojwa ya Moyo,Kisukari,Figo na kisukari? hivi unajua hewa unayovuta na kutoa unapovaa barakoa inakuwa ktk form gani? je ni Oxygen au ni mchanganyiko wa Oxygen na Carbon dioxide?

Why turisk wagojwa wa magojwa hayo kwa hoja ya kuzuia mtu kugusa mdomo na pua je hatuwezi kutumia njia zingine kama kunawa mikono na kutumia vitakasa mikono (Hand sanitizer) kuliko kucheza na mapafu na organs zingine 27 ambazo kwa pamoja zinakamilisha mfumo wa upumuaji?
 
Mhe Rais ni bingwa kujifukiza Kuliko meko?
 
Kwa kauli za huyu jamaa maana yake usipotambua covid lazima ikuue hii project kwa Tanzania nadhani wakubali imefeli waanzishe project nyingine
Mbona ishaondoa wapendwa wetu wa kutosha. Au mwenzetu huna ndugu wa rafiki wa karibu aliyepitiwa na huyu mdudu Cov 19?
 
Joe Biden kachanjwa lakini muda wote kavaa barakoa.
... that's the meaning of leadership! Unavaa barakoa sio kwa ajili yako zaidi ni kwa ajili ya kuwakinga wengine!
 
Hongera sana kwa comment mzuri sana
 
Mmeanza wachambuzi uchwara, chuki zenu kwa jpm, won't help anything. Better shut up and go to sleep.
 
Kwa kauli za huyu jamaa maana yake usipotambua covid lazima ikuue hii project kwa Tanzania nadhani wakubali imefeli waanzishe project nyingine
Na mtapukutishwa sana tu
 
Kwa kauli za huyu jamaa maana yake usipotambua covid lazima ikuue hii project kwa Tanzania nadhani wakubali imefeli waanzishe project nyingine
Hivi unabiashara ya Majeneza?
 
Msituchoshe,Mmeshaanza ujuaji wenu tena
 
Kama watu walivyo jazana pale uhuru lazima kutatokea mlipuko wa hatari
 
Kuna uwezekano wa kuwa na Rais mwingine mpya miezi michache ijayo kama huu uzembe wa hali ya juu wa kuendelea kuidharau COVID kwa kutovaa barakoa na kuheshimu social distance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…