Pre GE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa.

Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya msiba wa baba yake ni maelezo tosha kwamba Mama kagundua Mchengerwa alikuwa hajafikiria mbali au kusaidia kwenye akili za kisiasa. Sasa CCM iko kwenye wakati mgumu zaidi kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki na hawana cha kujivunia watu hawapedwi.

Pili kitendo cha wananchi kuzira kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura tena Tanga kimewatisha makada na Mama pamoja na uchawa mwingi huko Tanga wakati wa ziara

Kitendo cha mnafiki wa taifa mzee kikwete kuanza kuweka ukaribu na Lissu ni kwasababu anataka aweke mazingira watu wakianza kuchukia serikali wamkumbuke yeye kama mtu wa haki. Na Kikwete anajali sana kupedwa na ameshaona mchezo ulivyo.
Kitu kingine kimewashutua serikali ni watu wameanza kushutukia rushwa na sera mbaya kama ya juzi ya umeme wa kununuliwa! Kutoka Ethiopia .

kikubwa ambacho wanaogopa ni mwenendo wa sasa wa kuzidiwa hoja na Lissu kuweka urafiki na vijana wa habari kwa kumuhoji na kwenda nyumbani kwake mara kwa mara. Yaani wamemzoea kuliko makada wa CCM kwa muda mfupi sana

kitendo na sera ya kutafuta pesa bila kutegemea ruzuku nayo ni kitu kipya ambacho kitaimarisha Chadema

Lakini ambacho hakifichiki ni wanawake wa Chadema kumfunika Mama kwenye sherehe za wanawake juzi

Mama weka uchama pembeni vaa nchi na weka mazingira ya haki , tume huru na demokrasia bila hivyo huyo mkwe wako unampa nuksi kubwa sana na utapata shida

Takatakatakatakatakatakataka
 
Lini kikwete kawa karibu na lissu au kupiga picha msiban ndio ukaribu?
Ni ujinga kudhani samia na kikwete wanaweza kugombana

Kikwete ndie jiwe kuu la pemben kwa serkali ya samia

Watanzania kwann mnakuwa wajinga?
Nyumbu endeleeni kujipiga dole mnuse. Mtachakaa mwaka huu
 
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa.

Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya msiba wa baba yake ni maelezo tosha kwamba Mama kagundua Mchengerwa alikuwa hajafikiria mbali au kusaidia kwenye akili za kisiasa. Sasa CCM iko kwenye wakati mgumu zaidi kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki na hawana cha kujivunia watu hawapedwi.

Pili kitendo cha wananchi kuzira kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura tena Tanga kimewatisha makada na Mama pamoja na uchawa mwingi huko Tanga wakati wa ziara

Kitendo cha mnafiki wa taifa mzee kikwete kuanza kuweka ukaribu na Lissu ni kwasababu anataka aweke mazingira watu wakianza kuchukia serikali wamkumbuke yeye kama mtu wa haki. Na Kikwete anajali sana kupedwa na ameshaona mchezo ulivyo.
Kitu kingine kimewashutua serikali ni watu wameanza kushutukia rushwa na sera mbaya kama ya juzi ya umeme wa kununuliwa! Kutoka Ethiopia .

kikubwa ambacho wanaogopa ni mwenendo wa sasa wa kuzidiwa hoja na Lissu kuweka urafiki na vijana wa habari kwa kumuhoji na kwenda nyumbani kwake mara kwa mara. Yaani wamemzoea kuliko makada wa CCM kwa muda mfupi sana

kitendo na sera ya kutafuta pesa bila kutegemea ruzuku nayo ni kitu kipya ambacho kitaimarisha Chadema

Lakini ambacho hakifichiki ni wanawake wa Chadema kumfunika Mama kwenye sherehe za wanawake juzi

Mama weka uchama pembeni vaa nchi na weka mazingira ya haki , tume huru na demokrasia bila hivyo huyo mkwe wako unampa nuksi kubwa sana na utapata shida

Maza akichukua nchi kwa design ya Magufuli ..... ataongoza kwa shida sana hiyo miaka 5 ya mwisho.
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa umeonyesha uwezo mdogo WA kufikiri wa Mchengerwa. Kama kuna sehemu CCM ilipaswa kujisafisha ni uchaguzi wa mwaka Jana, lakini Kwa ujinga wao wamejizika Kwa kuendekeza maDC wapuuzi Kama Lijualikali wa NKASI kutangaza matokeo ya uchaguzi yeye mwenyewe.
 
CCM wanajua hayo yote!
Na hawana option nyingine zaidi ya kuharibu uchaguzi!
Mwaka huu nachoona asilimia kubwa ya Wapiga kura hawatashiriki kupiga kura! Hii No Reform no Election wananchi wengi walianza kuitekeleza muda.
 
Hujakosea hii ni Sababu mojawapo, lakini Sababu kubwa ni Utakatishaji wa Mali za umma ulio wazi .

Hakuna kitu kina waumiza wazalendo kama kuona Mabi ya Cash yanapigwa wazi wazi na hatua Kali hazichukuliwi.
Karma
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa umeonyesha uwezo mdogo WA kufikiri wa Mchengerwa. Kama kuna sehemu CCM ilipaswa kujisafisha ni uchaguzi wa mwaka Jana, lakini Kwa ujinga wao wamejizika Kwa kuendekeza maDC wapuuzi Kama Lijualikali wa NKASI kutangaza matokeo ya uchaguzi yeye mwenyewe.

Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024 umemwanika wazi Mchengerwa kuonekana ni mtu shetani asiyelifaa taifa hili kwa chochote.

Haijawahi kutokea wagombea, tena nafasi ya wenyeviti wa vijiji/mitaa na vitongoji wa upinzani kutotendewa haki hadi kuuawa na polisi, isipokuwa huo uchaguzi wa mwakajana uliosimamiwa na SHETANI MCHENGERWA. Maombi yetu, kwaajili ya damu alizozimwagwa mwaka 2024 kwaajili ya tamaa chafu, Mungu wetu mwenye haki ya kisasi amwangushie kila laana huyu wakala wa shetani Mchengerwa.
Hata kama ni tamaa na uroho wa madaraka, ndiyo mpaka ufikie kuondoa mpaka roho za wanadamu wenzako. Na laana hii imwendee pia Rais Samia, hajawahi kuthibitisha kuwa huo ushetani hakuufurahia.
 
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa.

Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya msiba wa baba yake ni maelezo tosha kwamba Mama kagundua Mchengerwa alikuwa hajafikiria mbali au kusaidia kwenye akili za kisiasa. Sasa CCM iko kwenye wakati mgumu zaidi kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki na hawana cha kujivunia watu hawapedwi.

Pili kitendo cha wananchi kuzira kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura tena Tanga kimewatisha makada na Mama pamoja na uchawa mwingi huko Tanga wakati wa ziara

Kitendo cha mnafiki wa taifa mzee kikwete kuanza kuweka ukaribu na Lissu ni kwasababu anataka aweke mazingira watu wakianza kuchukia serikali wamkumbuke yeye kama mtu wa haki. Na Kikwete anajali sana kupedwa na ameshaona mchezo ulivyo.
Kitu kingine kimewashutua serikali ni watu wameanza kushutukia rushwa na sera mbaya kama ya juzi ya umeme wa kununuliwa! Kutoka Ethiopia .

kikubwa ambacho wanaogopa ni mwenendo wa sasa wa kuzidiwa hoja na Lissu kuweka urafiki na vijana wa habari kwa kumuhoji na kwenda nyumbani kwake mara kwa mara. Yaani wamemzoea kuliko makada wa CCM kwa muda mfupi sana

kitendo na sera ya kutafuta pesa bila kutegemea ruzuku nayo ni kitu kipya ambacho kitaimarisha Chadema

Lakini ambacho hakifichiki ni wanawake wa Chadema kumfunika Mama kwenye sherehe za wanawake juzi

Mama weka uchama pembeni vaa nchi na weka mazingira ya haki , tume huru na demokrasia bila hivyo huyo mkwe wako unampa nuksi kubwa sana na utapata shida

No reforms no election, watu waichukulia poa kwamba haitekelezeki sasa nawapa mwanga ili mjue inatekelezeka.

Chadema ilisimamisha wagombea wa serikali za mtaa kwa asilimia kubwa sana na hivyo hivyo walienguliwa kwa asilimia kubwa sana.

Ikumbukwe wagombea wa serikali za mtaa bado walikua nawafuasi wao na wapo na imani na watu wao japo walienguliwa so hawa kwa nchi nzima wanaweza kutekeleza no reforms no election bila shida yoyote.

Sasa vipi yakaingia makundi mengine kama viongozi wa dini , na wadau wengine mnafikili itashindikanaje.

Ccm wakubali tu hii ngoma ngum ukisimama nchale ukikaa nchale
 
Back
Top Bottom