Pre GE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

Pre GE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi ni CCM lakini kwa yanayoendelea nchini siko tayari kupiga kura mwaka huu naona wachache ndio wanafaidi keki ya Taifa
Vijana tuko mtaani tumesoma hatuna ajira lakini nafasi wanajiweka wao mpaka wastaafu wanaotakiwa kupumzika na wajukuu
 
Lini kikwete kawa karibu na lissu au kupiga picha msiban ndio ukaribu?
Ni ujinga kudhani samia na kikwete wanaweza kugombana

Kikwete ndie jiwe kuu la pemben kwa serkali ya samia

Watanzania kwann mnakuwa wajinga?

Nani kasema watagombana?
 
Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa.

Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya msiba wa baba yake ni maelezo tosha kwamba Mama kagundua Mchengerwa alikuwa hajafikiria mbali au kusaidia kwenye akili za kisiasa. Sasa CCM iko kwenye wakati mgumu zaidi kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki na hawana cha kujivunia watu hawapedwi.

Pili kitendo cha wananchi kuzira kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura tena Tanga kimewatisha makada na Mama pamoja na uchawa mwingi huko Tanga wakati wa ziara

Kitendo cha mnafiki wa taifa mzee kikwete kuanza kuweka ukaribu na Lissu ni kwasababu anataka aweke mazingira watu wakianza kuchukia serikali wamkumbuke yeye kama mtu wa haki. Na Kikwete anajali sana kupedwa na ameshaona mchezo ulivyo.
Kitu kingine kimewashutua serikali ni watu wameanza kushutukia rushwa na sera mbaya kama ya juzi ya umeme wa kununuliwa! Kutoka Ethiopia .

kikubwa ambacho wanaogopa ni mwenendo wa sasa wa kuzidiwa hoja na Lissu kuweka urafiki na vijana wa habari kwa kumuhoji na kwenda nyumbani kwake mara kwa mara. Yaani wamemzoea kuliko makada wa CCM kwa muda mfupi sana

kitendo na sera ya kutafuta pesa bila kutegemea ruzuku nayo ni kitu kipya ambacho kitaimarisha Chadema

Lakini ambacho hakifichiki ni wanawake wa Chadema kumfunika Mama kwenye sherehe za wanawake juzi

Mama weka uchama pembeni vaa nchi na weka mazingira ya haki , tume huru na demokrasia bila hivyo huyo mkwe wako unampa nuksi kubwa sana na utapata shida

Upo sahihi sana, blunder kubwa waliyofanya CCM ni ulafi wao wa kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
 
Kweli kabisaa wangeacha uchaguzi wa mitaa ukawa huru wakaja kuumiza uchaguzi mkuu! Wa mitaa ambao wagombea hawana mshahara tumepigwa saana je huo mkuu wagombea wa mishahara mikubwa si vilema na wajane watajaa mitaani
 
Back
Top Bottom