Pre GE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa CCM iko kwenye wakati mgumu zaidi kuliko uchaguzi wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki na hawana cha kujivunia watu hawapedwi.
Tetesi zasema iko restoration factory soon itarejea
 

Mbona "No reforms, no election" ilianzishwa wakati Mbowe ni mwenyekiti wa CHADEMA?
 
Mnaota ndoto za mchana!! Siku mkiamua kuwa siasa ni bora kwenu kuliko mpira ndipo Nchi hii na hao akina Samia wataamka!! Hizi ngonjera zako hazimzuii tembo kunywa maji!!
 
"Uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka 2024 umemwanika wazi Mchengerwa kuonekana ni mtu shetani asiyelifaa taifa hili kwa chochote".
👍👊🤝💯
 
Lini kikwete kawa karibu na lissu au kupiga picha msiban ndio ukaribu?
Ni ujinga kudhani samia na kikwete wanaweza kugombana

Kikwete ndie jiwe kuu la pemben kwa serkali ya samia

Watanzania kwann mnakuwa wajinga?
Angekuwa jiwe kuu, asingekubali team Lowasa/Rostam ilete ingixo la Emanuel Nchimbi, kutolewa barazani kwa kijana wake Makamba Jr.
 
Uchaguzi wa Mwaka huu kama Mechi ya Juzi ya Yanga na Simba..mmoja lazima agomee mechi ili KANUNI na Sheria zifuatwe
 
Lini kikwete kawa karibu na lissu au kupiga picha msiban ndio ukaribu?
Ni ujinga kudhani samia na kikwete wanaweza kugombana

Kikwete ndie jiwe kuu la pemben kwa serkali ya samia

Watanzania kwann mnakuwa wajinga?
Mzee Kikwete hana Rafik wakudumu wala adui wa kudumu kwa kiufupi mzee Kikwete ndo mtu ambae amesoma hana dini yule mzee kasoma seminary vile vile ni Muslims yule mzee muone vile ni masters mind sio mchezo
 
Mzee Kikwete hana Rafik wakudumu wala adui wa kudumu kwa kiufupi mzee Kikwete ndo mtu ambae amesoma hana dini yule mzee kasoma seminary vile vile ni Muslims yule mzee muone vile ni masters mind sio mchezo
Kwani kusoma seminary kunamuondolea uislam wake mbona unakuwa mjinga sasa🤣🤣🤣🤣
 
Wote ni timu moja wewe ndio hujui kitu

Unakuawaje unachopewa mezani sisi wenzake tunapata chakula cha jikoni
Wewe hujui kitu, unaambulia chenga na hadithi za watu wa mtaani, ilikuwaje amkatae Lowasa, Leo aikumbatie tena team hiyo?? JK , Jr Makamba, Nape, Mzee Kinana team yao ipo na ipo kinyume na team Lowasa.

Labda kama amejiunga na hiyo team Leo.

Nakusikitikia, unategemea matango pori badala ya kutumia akili kwa kusoma political trend, toka Mzee wa msoga aliposema " ukitaka mambo yakunyokee washike wazee"

Toka Nape, Kinana, Makamba Jr kutumbuliwa, Bro Think big, understand beyond vissible meaning!!!
 
Rostam nchimbi kikwete na watoto wake ni timu moja we wa kutoka namtumbo huwezi kujua 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…