Pre GE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi ni CCM lakini kwa yanayoendelea nchini siko tayari kupiga kura mwaka huu naona wachache ndio wanafaidi keki ya Taifa
Vijana tuko mtaani tumesoma hatuna ajira lakini nafasi wanajiweka wao mpaka wastaafu wanaotakiwa kupumzika na wajukuu
 
Lini kikwete kawa karibu na lissu au kupiga picha msiban ndio ukaribu?
Ni ujinga kudhani samia na kikwete wanaweza kugombana

Kikwete ndie jiwe kuu la pemben kwa serkali ya samia

Watanzania kwann mnakuwa wajinga?

Nani kasema watagombana?
 
Upo sahihi sana, blunder kubwa waliyofanya CCM ni ulafi wao wa kuiba uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
 
Kweli kabisaa wangeacha uchaguzi wa mitaa ukawa huru wakaja kuumiza uchaguzi mkuu! Wa mitaa ambao wagombea hawana mshahara tumepigwa saana je huo mkuu wagombea wa mishahara mikubwa si vilema na wajane watajaa mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ