MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Safi sana ondoa wote mafisadi na wakabila wakabilaKituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho.
Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa vitambulisho kwa wakati na ufanisi.
Mama anasema bora lawama, anapitisha rungu ambalo halijawahi kupita mamlaka yoyote ile nchini, anaifumua NIDA kuanzia chini mpaka juu.
Washauri wakubwa wa mama wamemshauri boss mpya wa NIDA awe kijana ikiwezekana asiwe nyuma Sana na teknolojia hasahasa awe chini ya miaka 35.

Uhamiaji wanafanya nini??Hivi ni kukamata Wasomali na Waethiopia wanaoenda Afrika ya Kusini?Wao wangeweza kutoa vitambulisho kwa haki kuliko hao NIDA.JPM na ubabe wote ule ilikuwaje NIDA walimshinda? Yaani hii taasisi natamani ningekua na kiboko yaani ni kucharaza kuanzia mlinzi getini mpaka ofisa wa kule ndani. Kazi Yao ni moja tu ila inachukua miaka. Naamini hii shughuli ingefanywa hata na na JWTZ tungeshapata vitambulisho ndani ya wiki tu.
In fact ilipaswa tender apewe mtu kwa masharti ya kulipwa based on ID anazochapa kwa hiyo bila ufanisi Ina maana hakuna mishahara!! Hapo ndio wangekua na motisha ila hii ya kwamba wanalipwa mishahara whether or not huduma imetolewa ndio Yale Yale ya TTCL
Hiyo ni dalili ya wizi nchi nyingine huwa zinafanyaje?Ningeulizwa ningesema... kazi ya kufanya vetting ya nani apewe au asipewe ID ifanywe na serikali.... kutengeneza ID zipewe kampuni binafsi ambazo zitalipwa kwa idadi ya vitambulisho watavyo-print, utaona mziki wake.
Mimi tangu 2017 sijapata kitambulisho cha NIDA ni namba tu ndiyo ninazo.Kuchekeana kulizidi tu hakuna kinachomshindwa Raisi katika Mifumo yote kwakuwa yeye ni taasisi sasa pale ushkaji unapoingia hata vidole kunyoosheana inakuwa aibu ya wote. Hivi amshangai vitambulisho vya mpiga Kura vinatolewa kwa haraka na hadi kuokoteza wahitajia Leo NIDA yapata miaka 3 na zaidi card kikwazo sasa zinaenda expire za awali ngoja uone sound zao mchicha. Mliopo karibu na Raisi Mh DK SSH msaidieni kama anashaulika legacy itabikia kwake na nyinyi mtapata timiza majukumu yenu. NCHI INAHITAJIA VITU VINGI HII.
Sio lazima tufanye kama wenzetu, ni maajabu mtu kapewa NIDA namba, miaka mitano baadae bado hana ID. Tunahitaji namna mpya ya kufanya mamboHiyo ni dalili ya wizi nchi nyingine huwa zinafanyaje?
Kituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho.
Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa vitambulisho kwa wakati na ufanisi.
Mama anasema bora lawama, anapitisha rungu ambalo halijawahi kupita mamlaka yoyote ile nchini, anaifumua NIDA kuanzia chini mpaka juu.
Washauri wakubwa wa mama wamemshauri boss mpya wa NIDA awe kijana ikiwezekana asiwe nyuma Sana na teknolojia hasahasa awe chini ya miaka 35.
Hapo utaprint hata vya wanyarwandaNingeulizwa ningesema... kazi ya kufanya vetting ya nani apewe au asipewe ID ifanywe na serikali.... kutengeneza ID zipewe kampuni binafsi ambazo zitalipwa kwa idadi ya vitambulisho watavyo-print, utaona mziki wake.
mpwayungu village anafaaKituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho.
Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa vitambulisho kwa wakati na ufanisi.
Mama anasema bora lawama, anapitisha rungu ambalo halijawahi kupita mamlaka yoyote ile nchini, anaifumua NIDA kuanzia chini mpaka juu.
Washauri wakubwa wa mama wamemshauri boss mpya wa NIDA awe kijana ikiwezekana asiwe nyuma Sana na teknolojia hasahasa awe chini ya miaka 35.
Ndo maana nimesema nafasi hiyo inamfaa mpwayungu villageNaomba wenye Mamlaka wakisoma huu Uzi waupuuze kwenye Umri!
Yaani Unataka Mwafrika mwenye Miaka 35ndio awe Mkurugenzi wa NIDA!
tena Utakuta hata ndoa hana????
Acha Utani…
Mzungu sawa wameanza Elimu wakiwa wadogo wana Experience kubwa anapofikisha Umri wa 35yrs.
pia wenzetu ni Intelligent.
Sisi 100% Mpaka 40yrs Ndio anakuwa Matured entku handle pressure!
hatutaki Mtu anaekwenda Kuwaza Mademu,Hajakutana na Mikiki mikiki!
hana Uzoefu wa the same position
hana Uzoefu wa Management Human skills for 10yrs!
Tunataka Smart People.
ila 35yr hapana.
Aende akawe Msagasumu tuu hukoo[emoji3][emoji12]
Inaweza ikafanyika under supervision.... shida yetu ni kwamba hakuna gharama na uzembe. Seriously, ukiachana na wakurugenzi kuondolewa kila siku. 2020 tuliambiwa kuna mashine mpya kabambe... lakini shida bado ziko pale paleHapo utaprint hata vya wanyarwanda