Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Ngojaniweke sit hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigezo cha umri ni batiliKituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho.
Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa vitambulisho kwa wakati na ufanisi.
Mama anasema bora lawama, anapitisha rungu ambalo halijawahi kupita mamlaka yoyote ile nchini, anaifumua NIDA kuanzia chini mpaka juu.
Washauri wakubwa wa mama wamemshauri boss mpya wa NIDA awe kijana ikiwezekana asiwe nyuma Sana na teknolojia hasahasa awe chini ya miaka 35.
Tuweke wazungu tupia wenzetu ni Intelligent.
Smart pipo kivipi wakati sisi sio intelligent?Tunataka Smart People.
ila 35yr hapana.