Nafasi kama hizi sometime zina faa vijana tusio na interest yoyote! kazi inakuwa moja tu, kuhakiksha mambo yanaenda kama ilivyo kusudiwa na mwajiri wako.Kituo kinachofuata ni NIDA. Mama kashindwa kuelewa inakuaje kuaje Kama Magari kawapa, hela katoa, mashine za kisasa zipo, mishahara inaingia kila mwezi lakini miaka 5 mtu hapati kitambulisho.
Wakati huohuo mamlaka Kama hizo nchini Kenya na Rwanda zenye bajeti ndogo kuliko NIDA zinatoa vitambulisho kwa wakati na ufanisi.
Mama anasema bora lawama, anapitisha rungu ambalo halijawahi kupita mamlaka yoyote ile nchini, anaifumua NIDA kuanzia chini mpaka juu.
Washauri wakubwa wa mama wamemshauri boss mpya wa NIDA awe kijana ikiwezekana asiwe nyuma Sana na teknolojia hasahasa awe chini ya miaka 35.
unakuwa huna mtegemezi au yoyote wa kukufanya kuingilia majukumu ya kikazi