Mama Samia kuifumua NIDA juu chini, anatafuta bosi ambaye ni chini ya miaka 35

Aifumue Utumishi kwanza pale wizarani, kuna Miungu watu, wanawarudisha nyuma sana watumishi wa umma, mfano mkurugenzi wa kutoa promotion za watumishi, ni jibu kubwa, watumishi hawapewi promotion zao sbb hatoi barua, atakaa miaka na miaka tena mwajiri kamwandikia hadi barua ya kutoa approval ya watumishi wapandishwe, ila mkurugenzi wala hajali kitu, yule mama mmoja DE pale Utumishi ni mzigo mkubwa sana kwa serikali ya mama Samia
 
Nchi ina wizi wa kipumbavu kila mahali
Hata vitu vyenye maslahi ya Taifa wanahujumu
Wao wanajua kuhoji uraia wakati vitambulisho vimewashinda,

Halafu anakuja mtu anasema eti mzalendo
Mkuu kuna jambo ningeomba ushauri wako inbox lakini pia nina jambo la kukushauri so kama hutojali utanijulisha PM inshaallah.
 
Kinachoitesa NIDA ni mkataba wa Software wanayotumia tulipigwa na kitu kizito pale Mwanzoni na wahuni wachache unless tuamue kuendelea na mkataba wa kihuni au tuanze zoezi upya kwa maana kuanzia tendering hadi mwisho tupate kampuni ingine.
 
Labda Lucas Mwashambwa anaweza kupewa shavu hilo
 
Tatizo hizi ofisi zinazohusiana na tehama unakuta anawekwa mtu yeye tu anatumia simu ya button. Computer anajua kuzima na kuwasha. Kila nikikumbuka niliwahi kum trace mwizi mwenyewe na nikampata nikaenda kuwakabidhi polisi nasemaga TCRA huwa wanaajiri watu gani?
 
Akimaliza NIDA ifuate HESLB, hawataki kunilipa kiasi wali honikata zaidi wakati wa marejesho wa deni. Nikawafuata wanakuwa wakali na muda wa siku 90 walioniahidi umeshapitiliza sana. Kwa sasa nikawafuata wananifukuza n matusi juu.
 
NIDA mbona siku hizi wanapiga kaz vizur tu? Sio kama zamani
 
Inaweza ikafanyika under supervision.... shida yetu ni kwamba hakuna gharama na uzembe. Seriously, ukiachana na wakurugenzi kuondolewa kila siku. 2020 tuliambiwa kuna mashine mpya kabambe... lakini shida bado ziko pale pale

View attachment 2470981
NIDA sitapasahau. Yaani ukiingia tu pale ni uhasama watu wamenuna hatari utafikiri umeenda kuwakopa pesa. Hata sijui tatizo ni nini. Taasisi mojawapo ya hovyo sana [emoji706][emoji706][emoji706]
 
JPM aliweka KANALI wa Jeshi hapo anaitwa Komba! akafeli mbaya kajaza wajeshi uwezo hakuna wakafeli!
hao ndio hawafai kabisa kwa kazi za uraiani wengi wana vyeti vya kufoji na kujifanya wajuaji
 
Sasa kuwa na ndoa kwa mtu kunahusiana vipi na weledi wake wa kazi? Zuhura Yunus kafanya kazi bora miaka mingi na ndoa kafunga juzi. Tuwe tunaficha aibu zingine.

Pale Nida hata kijana wa 21 aliyetoka chuo anaweza fanya kazi nzuri kuliko wazee wapuuzi waliopo leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…