Mama Samia kuifumua NIDA juu chini, anatafuta bosi ambaye ni chini ya miaka 35

Nafasi kama hizi sometime zina faa vijana tusio na interest yoyote! kazi inakuwa moja tu, kuhakiksha mambo yanaenda kama ilivyo kusudiwa na mwajiri wako.

unakuwa huna mtegemezi au yoyote wa kukufanya kuingilia majukumu ya kikazi
 
Tukipata Rais mwingine naye atatuambia anaenda kuifumua NIDA.... Kisha tutamshangilia ....anakuja mwingine naye anaifumua...

Kudadeki tuendelee kufumuana tu.
Yasiwe marinda tu
 
Nahisi NIDA ni kitengo nyeti kuliko Nyeti zenyewe.
Unyeti wa NIDA uko wapi kama Mtu Four Years Ana namba na Hana ID ?? kama waliona anadeserve Mpaka akapewa No kwanini aishie kuwa na namba na ahangaike nazo kwenye vikaratasi kama password ya Card ya Benki ya Sponsor wakati kuna uwezekano na anadeserve kupata ID..??
Tuache kubeat around the Bush NIDA wanatuhujumu.
Haiwezekani Baba awe na Kadi na Mama awe nayo alafu mtoto akae four years eti anasubiri Vetting ya Uraia wake. URAIA which ?? Mbona kura tumepiga, JKT tumeenda ,Mikopo ya Elimu ya juu tumepata so hiyo Vetting ya Uraia ilikuwa haiconcern na huko pia au Kwenye ID ya NIDA tu ndo Kuna KITU kingine Special..??
NIDA HAINA UNYETI WOWOTE , NI TAASISI YA UMMA KAMA RITA TU😎😎.
 
chini mpaka juu.
Washauri wakubwa wa mama wamemshauri boss mpya wa NIDA awe kijana ikiwezekana asiwe nyuma Sana na teknolojia hasahasa awe chini ya miaka 35.

mi tangu juzi nipo hapa Temeke Makao Makuu yao na vyeti vyangu nasubiri mfumuo huo nipande ngazi
 
labda aunganishe NIDA NA RITA viumane tupate taasisi moja yenye nguvu na ufanisi kama vile Angola wanavyofanya
 
wanaochelewesha mchakato huo ni uhakiki wa mikoa ya Kigoma hasa wilaya ya Kibondo na Kagera wilaya ya Ngara wakikurupuka tu wembamba haooo wanachekele ubwete wa NIDA na wilaya ya Uvinza hasa vijiji vya kusini mwa Kigoma
 
Hilo ni swala la kiutawala . Kumbuka vyeo vinapanda na stahiki. Hakuna Mtu anaweza kusahau his core and main duties kizembe. Hapo Kuna namna Wewe VUMILIA Mkuu
 
labda aunganishe NIDA NA RITA viumane tupate taasisi moja yenye nguvu na ufanisi kama vile Angola wanavyofanya
Perfect 👍👍💪 . Haiwezekani Mtu awe na Birth Certificate and Still uwe na shaka na Uraia wake ,wakati cheti Cha Kuzaliwa kinasema Mother and Father nationality is TANZANIAN .
 
Kinachoitesa NIDA ni mkataba wa Software wanayotumia tulipigwa na kitu kizito pale Mwanzoni na wahuni wachache unless tuamue kuendelea na mkataba wa kihuni au tuanze zoezi upya kwa maana kuanzia tendering hadi mwisho tupate kampuni ingine.
😋😋 Naona hizi niza ndaaani kabisa. Mkuu Kama hautojali please tufafanulie huo mkataba wa Software ukoje ukoje ili tupunguze makasiriko Kwa wazalendo wenzetu maana labda tunawafanya Kama majani ya njiani TU kila anaepita anayapiga teke hata Kama Yako pembeni
 
Nafasi kama hizi sometime zina faa vijana tusio interest yoyote! kazi inakuwa moja tu, kuhakiksha mambo yanaenda kama ilivyo kusudiwa na mwajiri wako.

unakuwa huna mtegemezi au yoyote wa kukyfanya kuingilia majukumu ya kikazi
NIDA +RITA =NATIONAL IDENTITY AUTHORITY Boss namba moja atoke kitengo cha utambuzi paleeee namba mbili atoke Wizara ya afya. staff watoke mtawanyiko.. kwetu pazuri sana lakini kukame mnoo
 
Hii Kitu huwa inaniumiza Sana maana makosa yanayotokana na uzembe wa watu wengine yanagharimu maisha ya watu. Na wanakuwa hawana pakusemea .
Imagine Mtu anaitwa Edward na picha yake ipo Ila kwenye ID yake sehemu ya Gender imejazwa Female😬😬 Ani Kuna Mambo Mengine ni huzuni Kwa kweli😓😓. Unawaza hupati jibu. Unasema sawa labda Edward ilimchanganya akazani ni Ni lakike so napicha hakuona Kama ni ya Mwanaume. Unabaki unauma meno na kujipiga kifua TU Kwa uchungu.
Kuna mamia ya Majina ya watoto wa wakulima yalikosewa huko kwenye TSM 09 standard seven ikawa imetoka hiyo na hayo ndo ikabidi yawe Majina yao official. Watoto wa wakulima wanahangaishwa na uzito wa misalaba wasio weza kuibeba na isio wahusu Kwa uzembe wa watu wengine.
Hii Nchi hii ,Ukizeeka salama mshukuru saana Mungu maana mahovyo hovyo na mapuuza ni Mengi mnooo
 
wanaochelewesha mchakato huo ni uhakiki wa mikoa ya Kigoma hasa wilaya ya Kibondo na Kagera wilaya ya Ngara wakikurupuka tu wembamba haooo wanachekele ubwete wa NIDA na wilaya ya Uvinza hasa vijiji vya kusini mwa Kigoma
Sio kweli. Niko Mtwara mjini and now is four years since registration and still Bado Mtu ana namba bila ID vipi na huku Kuna hao wembamba Mkuu..?? NIDA ni jipu Nchi nzima .
 
wanaochelewesha mchakato huo ni uhakiki wa mikoa ya Kigoma hasa wilaya ya Kibondo na Kagera wilaya ya Ngara wakikurupuka tu wembamba haooo wanachekele ubwete wa NIDA na wilaya ya Uvinza hasa vijiji vya kusini mwa Kigoma
Hibyo vijiji tutatuma Uhamiaji toka mikoa mbali mbali kwa utaratibu wa kufanya kazi kwa week week.
 
Awamu hii tuchukue kiongozi toka taasisi binafsi. Either Mining industry akawe DG.

Walau huko watakuwa na zile element za Kigeni katika utendaji kazi.
 


Kunatakiwa mabadiliko lakini vijana wa chini ya miaka 35 tunawaona hapa utoto mwingi na elimu ya kulipuwa wengi upeo mdogo. Ni ngumu kupata kijana wa miaka chini ya 35 mwenye uwezo wa kuendesha idara hii labda awe kashafanya biashara yake na kwenye technologia na imefanikiwa.

Tatizo na NIDA kubwa ni rushwa wanabana ili rushwa itoke
 

I f*ck hating NIDA[emoji850]
 
Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali

Choni Mnyangu....
 
Yawezekana wanatangaza kupeleka hela lkn hawapeleki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…