Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.

Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema.

Chanzo: TBC

Maendeleo hayana vyama!
 
Kweli kabisa mama yetu mpendwa.

Tunakuombea wakati wowote uwe Rais wetu.

Unazo sifa zote za kuwa Rais wetu. Mama mpole, mnyenyekevu, mwenye hekima na busara zako.

Ee Mungu twaomba usikie dua yetu.
 
Mwambie huyo mama kuwa hata Tanzania ilijifunza toka kwa Uganda, maana kwa Africa nchi ya kwanza kuwa na makamu wa rais mwanamke ni uganda alikuwa anaitwa Specioza Kazibwe

Specioza Kazibwe​

From Wikipedia, the free encyclopedia


Jump to navigationJump to search
Personal details
6th Vice President of Uganda
Specioza Kazibwe
In office
18 November 1994 – 21 May 2003
PresidentYoweri Museveni
Preceded bySamson Kisekka
Succeeded byGilbert Bukenya
Born1 July 1954 (age 66)
Iganga, Uganda
Political partyDemocratic Party
Alma materMakerere University
Specioza Naigaga Wandira Kazibwe, is a Ugandan politician and first female Vice President in Africa.[1] She was Vice President of Uganda from 1994 to 2003, making her the first woman in Africa to hold the position of vice-president of a sovereign nation. Dr. Specioza Kazibwe is also a Ugandan surgeon. She is also referred to as "Nnalongo", because of her twin daughters.[2] In August 2013, she was appointed by the United Nations's Secretary General, Ban Ki-Moon as United Nations Special Envoy for HIV/AIDS in Africa.[3]

Contents​

 
Huyu mama sasa hivi analindwa balaa niliona upekuzi siku ya Wanawake. Sijui inaashiria jambo gani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…