Mama Samia, Mungu Akubariki Sana...

Mama Samia, Mungu Akubariki Sana...

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.

Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana.

Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha Yetu Ya Kawaida Basi Ni Hawa Viongozi Wetu Wa Juu Kujichanganya Na Sisi Hata Mara Chache Na Kupata Ladha Ile Ile Ya Maisha Yetu Ya Furaha Au Huzuni, Japo Kidogo.

Ni Siku Ya Leo Ndio Nimeona Vizuri Lile Shindano La COMEDY AWARD. Asee mule mama amecheka sana tena sana na kufurahia maisha kama sisi watu wa kawaida. Yaani mama kafanya "impersonation" ya hali ya juu sana katika kila eneo. Nimefurahi sana kumuona Rais wangu yupo katika hali ile ya furaha. Vijana wamefurahi na taifa limefurahi. Gusa sasa na makundi mengine.

Hongera Mama Samia
Hongera Mheshimiwa Rais
Since Your Happy Then Make US Happy As Well.
Hongera Ommy Dimpoz
 
Back
Top Bottom