Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

Unyonge ilikuwa mbinu ya mwendazake kutaka kuwadunisha wannachi ili atawale milele
 
Kabisa, nakumbuka pia akiongea na kina mama pale Dodoma Aliwaambia "msiwe wanyonge" maana yake unyonge ni udhaifu
Kukubali kuitwa mnyonge ni kuidhalilisha nafsi yako. Mungu aliumba binadamu mkamilifu mwenye nguvu za mwili na ubongo.

Yeyote akizitumia akili zake na nguvu zake vizuri ana uwezo wa kupiga hatua kiuchumi na kijamii.

Usikubali kuitwa Mnyonge, utapata LAANA kama aliyoondoka nayo Mwendazake
 
Rais wa wanyonge.
Mnyonge naliona kama TUSI kwa Watanzania. Tafsiri yake hii hapa:

1.mtu dhaifu; mtu asiyekuwa na nguvu Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni (ms) Synonyms: mnyela
2. mtu mwenye tabia ya upole na ya kunyenyekea
3. mtu wa hali ya chini Mnyonge kupata haki ni mwenye nguvu kupenda (methali)

Binafsi silipendi hili neno, tupaze sauti sauti wana siasa wasituite sisi wanyonge, watumie neno wananchi au Watanzania, waache kutusanifu
 
Linakutibua Sana
Ulishawahi lisemea hapa enzi zile za Yule au ....??! reference please
 
Lilikuwa ni jina la kipumbavu sn
 
Dah kwa hiyo hakuna tena serikali ya wanyonge?πŸ’πŸ€£πŸ€Έβ€β™‚οΈ
 
Unyonge ilikuwa mbinu ya mwendazake kutaka kuwafunisha wannachi ili atawale milele
 
Lazima wakasirike ndio legacy walioachiwa, kuwa WanyongeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Pumbavu kabisa kabisa..
Yani wakiitwa majasiri wanaona kama watakosa vya bure maana walizoea kulialia kila anakopita jamaa yao walikuwa wanamuomba hela naye anawapa kama papaa. Hii iliwadumaza sana tumetengeneza taifa la watu wanaotaka vya kupewa tu hata kaugomvi ka mpaka wa kiwanja analalamika anataka Rais aingilie kati wajinga sana.

Life hii usipopambana mwenyewe inakula kwako sasa wao wamezoea kujiita wanyonge ili wapewe misaada. Shinzi
 
Ww ni mpumbavu kichwa mavi kbs, endelea na huo ujinga wako
 
Huyu sio Rais wa wanyonge ndio maana anawashauri msiwe wanyonge.
 
Wenyewe wanakasirika kweli wakiambiwa wasiwe wanyonge πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ walikuwa wanapenda kweli kuitwa wanyonge.
Alikuwa rais wa wanyonge baada ya kuwafanya watu wawe masikini ili aweze kuwatawala
 
Hakuna mnyonge
 

Yule jamaa alikuwa anatawala hii nchi kijima. Yaani alipaswa kuwa kiongozi enzi za zama za mawe. Ogopa mshamba akipata madaraka halafu akawa na kiburi. Ukichanganya na hili katiba la kumsujudia rais ni balaa tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…