Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

Mama Samia: Naomba msiwe wanyonge

Bila HAKI ya kweli kuwepo nchini, wanyonge wataendelea kuwepo nchini tena kwa idadi kubwa. Na mifano iko mingi sana Mkuu.
Unyonge unatibika,kama yalivyo matatizo mengine ya Akili.
 
KIONGOZI Mkristo anaamini atatawala MILELE!!! Lakini KIONGOZI MUISLAM! Anaamini kuwa MADARAKA ya DUNIA yana MWISHO! Na KUWA KIONGOZI Haimanishi unaowangoza HAWANA AKILI,na stahiki yao ni UMASIKINI!!!!😷
 
Back
Top Bottom