Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
ni sawa na kumwita mwanamke al hajj, wakati mwanamke anaitwa hajjat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha yetu ni lugha ya kiswahili, hatuashirii kwa kutofautisha kama kiarabu, english n.k. Neno amir limetoholewa kama yalivyotoholewa maneno mengine na tunayatumia tutakavyo. Mfano mzuri ni neno awamu ni neno la kiarabu "awam" lakini kwa kiarabu linatumika kumaanisha mwaka, huku kwetu ni kipindi anachotawala rais kutoka uchaguzi mmoja hadi wa pili i.e miaka mitano.
Ulimuona jana Dodoma? Alikua amevaaje?
Hilo body unalozungumzia umebahatika kuwaona wale wanawake wa JWTZ Dodoma?
By the way hakuna vasi rasmi la “KiIslam” bali Uislam unaagiza kujistiri tupu na haiba!
Sis twende na Amir...hilo jengine litatuchanganya sana !!Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Sisi sio warabu
Natamani kumuona Akivaa gwanda za JWTZ atafananaje?
Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Point yako nini haswaa kwa huyu mama samia? Wewe kama mgalatia
Kuvaa hilo gwanda sahau Mzee, huyo mama anajitambua,anajiheshimu na anamuogopa Mola wake, unadhani huyo ni kama wale wavaa vimini, vichupi vikionekana na minywele yote ikionekana! Aise hahahahaaaa
Tofautisheni Lugha na vyeo.
Amir au Amirat ni lugha ya kiarabu yenye kuonyesha jinsia.
Vyeo havina jinsia = Mkurugenzi ni mkurugenzi au Luteni kanali ni kanali awe mwanamke au mwanamme.
Amir ishasema ni mwanamme na Amirat ni mwanamke.
Sultani ni cheo ,je mwanamke naye atitwa Sultani?
Ustadhi au Ustadhata.
View attachment 1732727
Ushungi wa nini Wakati ni Raisi wa wote
Mimi kama Mgalatia!??
Uko Sawa kweli Chief?
Acha jazba wewe ... hilo ni swali tu linalohusu lugha ya kiarabu mambo ya uislamu yamekujaje? Kwani hamna waraabu wakristo!!! Ucha ushamba!!!sisi siyo taifa la kiislamu.
Samahani mkuu Coach, Are u Muslim?
Kwani Ben Saanane na Azory walishafariki??Hilo neno la kiswahili amiri jeshi mkuu.
La kiarabu Ni amir.
Sisi tunalitumia kwa wote awe mwanamke au mwanamme.
RIP Magufuli,RIP Ben Saanane, RIP Azory Gwanda hii ndiyo maana halisi ya kila nafsi itaonja mauti.
Mchangiaji wa post namba 2 amejibu vizuri sana kwa ufupi wenye kukidhi haja.Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Kadhalika tamko "Jeshi" nalo ni la asili ya Kiarabu.Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Sheikh King Kong III nakupenda kwa ajili ya Allah,, uko vizuri.