Mama Samia ni Amir jeshi Mkuu au Amirat Jeshi Mkuu?

Mama Samia ni Amir jeshi Mkuu au Amirat Jeshi Mkuu?

Hivi wewe kwa akili ya kufikiri tu, mama samia avae trouser na koti lake, huo unene alionao unadhani litamkaa vipi!!!! Si litaonyesha body yake alafu mwanze kumsema tena ooh mama samia amebadilika sikuhizi. Kwanza co lazima kuvaa hilo gwanda. Mama yetu aendelee na vazi lake la kiislamu, na ndio vazi bora na la heshma.
Mama awe angevaa vazi la kuogelea kwenye baadhi ya hotuba zake
 
Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.

Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?

Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Kwa hicho hicho kiarabu neno Rais linatumika kwa mwanaume. Kwa mwanamke ni Raisat, je hili nalo tubadilishe?
 
Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.

Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?

Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Ingekuwa uarabuni, angeitwa Amirat. Kwa Tanzania ni Amiri Jeshi Mkuu simpo.
 
According to islam beleif mwanamke hawezi kuongoza jeshi kwa hiyo neno Amirat hali exist.

Kwa kibongo bongo ni Amir tu.
 
Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.

Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?

Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Ni Amiri kwa sababu ni kwa kiswahili na si kwa kiarabu.
 
Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.

Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?

Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Neno la Kiarabu ni أمير ukitamka kama Kiarabu cha fasaha utasema "amirun", lakini matamshi ya kawaida ni "amir" hiyo imepokelewa katika Kiswahili.

Umbo la kike ni ميرة ambayo matamshi yake kifasaha ni "amiratun" lakini matamshi ya kawaida ni "amira".
Hakuna anayesema "amirat" kwa Kiarabu.
Kwa hiyo tulia, na endelea kuboresha Kiarabu chako. lakini usisahau kunyosha pia Kiswahili.
 
Tujiulize yafuatayo: Je, Mwinyi alikuwa anapiga gwanda?! What about Mkapa and later JK?! Binafsi sina jibu lakini kama hawajawahi basi tufahamu tu kwamba Bwana yule kupenda kupiga gwanda kunatokana sana na ile tabia yake ya kupenda kujikweza na kuwa na elements zake kidikteta na ndo maana alipoingia tu Ikulu, mashoga zake wakawa Kagame na Museven ambao ni ex-military wanao-excircise udikteta vizuri kama ilivyo kwa majority ya African ex-military wanaochukua Ikulu! Na mimi naamini Hayati JPM alitamani sana kama nae angekuwa ex-military na utaona refelction ya hii jindi alivyokuwa anapenda kuteua wanajeshi!
 
Attachments

  • 25C13742-6BD9-42C1-A158-C1BFB2723A97.jpeg
    25C13742-6BD9-42C1-A158-C1BFB2723A97.jpeg
    72.3 KB · Views: 3
tameer, hiyo picha uliyoniwekea hapo juu ni ya nani miongoni mwa niliowataja?! Ni ya Mwinyi, Mkapa au Kikwete?! Pamoja na yote, huyo uliyemweka akiwa na gwanda alikuwa na gwanda hizo katika mazingira yapi compared na yule anayepiga gwanda na kuanza kusimama kila anapoona raia?! Mwalimu kwa mfano, hata nae keshawahi kupiga gwanda na mazingira yaliyokuwa yanamfanya apige gwanda ni mazingira sahihi kabisa.
 
Mara zote, tangu kupatikana kwa uhuru – Desemba 9, 1961, marais wa Tanzania wamekuwa ni wanaume; kuanzia kwa Julius Kambarage Nyerere (1962-1985), Ali Hassan Mwinyi (1985-1995), Benjamin William Mkapa (1995-2005), Jakaya Mrisho Kikwete (2005-2015) na John Pombe Magufuli (2015-2021).

Hawa wote walikuwa wakivaa cheo kingine kikubwa AMIRI JESHI MKUU.

Amiri ni neno la Kiarabu lenye maana ya “kiongozi mkuu mwanaume.

Lakini sasa Tanzania imempata kiongozi mwanamke, hivyo badala ya kuitwa AMIRI (mwanaume), yeye anakuwa AMIRAT (mwanamke).

Amirat lina asili ya Kiarabu na lugha kadhaa za Afrika, na humaanisha Malkia.

Kwa sababu hiyo, inashauriwa wanasiasa, vyombo vya habari na wananchi kuwa, kama vile ambavyo kwa Kiingereza hatuwezi kumwita Mr President bali Madam President, hata katika cheo hiki sasa Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kuitwa Amir Jeshi Mkuu bali AMIRAT JESHI MKUU.

Tulitumie, litazoeleka.
 
Kumekuwepo na upotoshaji kuwa sio sahihi kwa mtu mwenye jinsi ya kike kuitwa amri jeshi mkuu. U kweli nikuwa neno Amiri nilenye asili ya kiarabu lakini lilipoingizwa katika kiswahili halina mbadala wake kijinsia

Katika kamusi ya kiswahili -kingereza kidahizo hiki kimwingizwa kma ifuatavyo Amiri*[a/wa-] Commander ~ jeshi mkuu commander - in chief (Kar) nitofauti na lile la kiarabu lenye kutumika kwa jinsi ya kiume, lenye mbadala wa amurat kwa jinsi yakike.

Neno Amurat halipo katika kiswahili na nimakosa kutumika kutaja cheo hicho kwa sasa.

Nivyo ni sahihi na nikiwahili mufti kusema Amiri jeshi mkuu wa Tanzania Mama Samia suluh Hasan
 
Ndio shida ya maneno ya kuazima tubuni ya kwetu
 
Back
Top Bottom