Mama Samia ni Amir jeshi Mkuu au Amirat Jeshi Mkuu?

Sawa ngoja tuone
 
Ulimuona jana Dodoma? Alikua amevaaje?

Hilo body unalozungumzia umebahatika kuwaona wale wanawake wa JWTZ Dodoma?

By the way hakuna vasi rasmi la β€œKiIslam” bali Uislam unaagiza kujistiri tupu na haiba!

Point yako nini haswaa kwa huyu mama samia? Wewe kama mgalatia
 
Sis twende na Amir...hilo jengine litatuchanganya sana !!
 

Tanzania na uarabu wapi na wapi? Kama kuna kitu kitasumbua ni hiki cha kutumia uarabu kutaka kumuongoza Rais wetu.
Msubiri mpaka ahamie uarabuni
 
Kuvaa hilo gwanda sahau Mzee, huyo mama anajitambua,anajiheshimu na anamuogopa Mola wake, unadhani huyo ni kama wale wavaa vimini, vichupi vikionekana na minywele yote ikionekana! Aise hahahahaaaa

Ushungi wa nini Wakati ni Raisi wa wote
 
Tofautisheni Lugha na vyeo.

Amir au Amirat ni lugha ya kiarabu yenye kuonyesha jinsia.

Vyeo havina jinsia = Mkurugenzi ni mkurugenzi au Luteni kanali ni kanali awe mwanamke au mwanamme.

Amir ishasema ni mwanamme na Amirat ni mwanamke.

Sultani ni cheo ,je mwanamke naye atitwa Sultani?

Ustadhi au Ustadhata.
 

Sheikh King Kong III nakupenda kwa ajili ya Allah,, uko vizuri.
 
Samahani mkuu Coach, Are u Muslim?

Is this a serious question after you call me β€œMgalatia”?

Chief, every second that we breath, it teaches us a simple technique, Pumzi na Uhai si chochote!

Jitafakari Chief!
 
Hilo neno la kiswahili amiri jeshi mkuu.
La kiarabu Ni amir.
Sisi tunalitumia kwa wote awe mwanamke au mwanamme.

RIP Magufuli,RIP Ben Saanane, RIP Azory Gwanda hii ndiyo maana halisi ya kila nafsi itaonja mauti.
Kwani Ben Saanane na Azory walishafariki??
 
Mnabishana bure pasipo kuwa na ufahamu, mkawaulize BAKITA wanalo jawabu.
Mfumo dume umetudumaza sana.
 
Mchangiaji wa post namba 2 amejibu vizuri sana kwa ufupi wenye kukidhi haja.

Hapa naweka ziada. Tamko la kiarabu la "Amirat" kisheria ni kwa wanawake tu akiwaongoza wanawake wengine na si tamko la kisheria bali ni tamko la kilugha.
 
Kadhalika tamko "Jeshi" nalo ni la asili ya Kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…