Mama awe angevaa vazi la kuogelea kwenye baadhi ya hotuba zakeHivi wewe kwa akili ya kufikiri tu, mama samia avae trouser na koti lake, huo unene alionao unadhani litamkaa vipi!!!! Si litaonyesha body yake alafu mwanze kumsema tena ooh mama samia amebadilika sikuhizi. Kwanza co lazima kuvaa hilo gwanda. Mama yetu aendelee na vazi lake la kiislamu, na ndio vazi bora na la heshma.
Kwa hicho hicho kiarabu neno Rais linatumika kwa mwanaume. Kwa mwanamke ni Raisat, je hili nalo tubadilishe?Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Ingekuwa uarabuni, angeitwa Amirat. Kwa Tanzania ni Amiri Jeshi Mkuu simpo.Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Is this a serious question after you call me “Mgalatia”?
Chief, every second that we breath, it teaches us a simple technique, Pumzi na Uhai si chochote!
Jitafakari Chief!
Sisi sio warabu
Natamani kumuona Akivaa gwanda za JWTZ atafananaje?
Hata neno RaisKadhalika tamko "Jeshi" nalo ni la asili ya Kiarabu.
Ni Amiri kwa sababu ni kwa kiswahili na si kwa kiarabu.Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Neno la Kiarabu ni أمير ukitamka kama Kiarabu cha fasaha utasema "amirun", lakini matamshi ya kawaida ni "amir" hiyo imepokelewa katika Kiswahili.Wakuu, hii kitu imenichanganya, Marais wa kiume huitwa Amir jeshi mkuu. Msingi wa neno Amir ni neno la kiarabu ambalo lina maana kiongozi.
Kwa kiarabu na uislamu kiongozi wa wa kiume huitwa Amir na wakike huitwaw Amirat .Je kwa mama Samia ataitwa Amir jeshi mkuu au Amirat?
Wazee wa Itifaki naomba ufafanuzi
Tujiulize yafuatayo: Je, Mwinyi alikuwa anapiga gwanda?! What about Mkapa and later JK?! Binafsi sina jibu lakini kama hawajawahi basi tufahamu tu kwamba Bwana yule kupenda kupiga gwanda kunatokana sana na ile tabia yake ya kupenda kujikweza na kuwa na elements zake kidikteta na ndo maana alipoingia tu Ikulu, mashoga zake wakawa Kagame na Museven ambao ni ex-military wanao-excircise udikteta vizuri kama ilivyo kwa majority ya African ex-military wanaochukua Ikulu! Na mimi naamini Hayati JPM alitamani sana kama nae angekuwa ex-military na utaona refelction ya hii jindi alivyokuwa anapenda kuteua wanajeshi!