johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee mimi sijaongeza wala kupunguza neno na source nimekuwekea!Bwashee kwa hiyo unataka kutuambia kuwa mama Samia anaamini bila Makonda kutamka hayo asingekuwa VP wa JMT? Sema kuna agenda zako unataka kupenyeza hapa! Kigamboni washaamua na Jiji tayari lina RC mwingine!
Siasa ni sayansi!So what?
Umeona eeh...Watanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
Bwashee huwa nasomaga mambo yako humu kwa jicho la tatu.......robo tatu ni zaidi ya fitna za kisiasa. Hahahahah! Is always good to read your posts anyway, almradi msomaji uwe composed!Bwashee mimi sijaongeza wala kupunguza neno na source nimekuwekea!
Siasa ni sayansi!
Akili yako ndogo ulifikiri Ndugulile atakuwa mbunge wa kigamboni?,ni Makonda tu,stay tunedWatanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
Na uwezo huo kikatiba anao!Mama kama anampenda sana Makonda basi si vibaya akamfanya kuwa shamba boy wake, Sisi wananchi hatufai!
Hii taarifa kama itakuwa ni kweliMakamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Umewekewa na source kabisa bwashee.Hii taarifa kama itakuwa ni kweli
Basi makonda soon anaenda kuwa soon mbunge wa kigamboni
Yajayo yanafurahishaMakamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Makonda atapitishwa na kamati! Jiandae kisaikolojiaBwashee kwa hiyo unataka kutuambia kuwa mama Samia anaamini bila Makonda kutamka hayo asingekuwa VP wa JMT? Sema kuna agenda zako unataka kupenyeza hapa! Kigamboni washaamua na Jiji tayari lina RC mwingine!