Huyo anafaa awe jela angojee ushahidi kukamilika miaka 10 ndani kama walivyowafanyia wenzao wazee wa escrow,kitilya na mkwe wa Lowasa.Kwahiyo mama Samia nae aseme BASHITE anafaa kuwa VICE President? Amuache tu Bashite awe anakwenda kula ubwabwa nyumbani kwake, mambo ya serikali Bashite kisha yanyea; mama asije kujipaka kinyesi bure!!!