Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

Kwahiyo mama Samia nae aseme BASHITE anafaa kuwa VICE President? Amuache tu Bashite awe anakwenda kula ubwabwa nyumbani kwake, mambo ya serikali Bashite kisha yanyea; mama asije kujipaka kinyesi bure!!!
Huyo anafaa awe jela angojee ushahidi kukamilika miaka 10 ndani kama walivyowafanyia wenzao wazee wa escrow,kitilya na mkwe wa Lowasa.
 
Hakika CCM ni dude la ajabu ambalo halina muazini wala msoma swala.
Ukiona ya Wajumbe usishangae kuna ya watawala.
Msikilize vizuri makamu wa Rais asemayo hapa utagundua kuwa safari ya kumsafisha Makonda imeanza rasmi. Ni mjinga pekee ndiye hawezi kuliona hilo.
Hata wewe Mama Samia uliyesema maneno yale siku ile ya kuapisha viongozi wapya? Haiwezekani uwe unatumika namna hiyo, maana utatufanya tuone kuwa ni makosa kwa kinamama kuwapa nafasi za juu kwani hawawezi kusimamia misimamo yao.

Kumsafisha kweni alichafuka wapi? Yamkini wewe ni mchafu kuliko yeye,mdhambi kuliko yeye,masikini kuliko yeye,huna dini na imani kuliko yeye

Lakini unaropoka tu.
 
Back
Top Bottom