Mama Samia Suluhu anajua kuongea Kiingereza?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini umeuliza hao hujauliza "mwenye nyumba"[emoji1]
 
Kiingereza ni kiswahili cha dunia, ukiwa na madaraka halafu umepata elimu yako kwa lugha hiyo, ni aibu na fedheha kutokuijua fullstop.
Akah, akah,akah!😀

Una maanisha sisi tunatia aibu na fedheha?
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Chakustaajabisha lakini;
Fikira hizi hakuna aliewahi kuwa nazo Bongo tangia awamu zote zilizopita.

Ukipenda , kweli Chongo utaita Kengeza.
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Kama kweli hutaki utumwa acha kabisa kutumia vitu vyao, acha kutumia smart phone, internet, computer zao, chanjo zao etc. Panda punda au fisi ukienda job au kula bata... Ndege zao usipande, panda ungo...
 
Warusi, wachina, wakorea je? Ukiwa na akili za kitumwa kama zako huwezi kujikomboa. Kama wewe utaendelea kutoa mapovu humu JF kujikomboa kutoka akili za kitumwa itakuwa ni ndoto za Alinacha!!
Ni Rais gani kati ya hizo nchi hajui kidhungu?,kiduku mwenyewe kasomea Australia.
 
Mimi ni mmoja wa waasisi wa hii forum. Ni mtu mjinga na anayesumbuliwa na kutoona mbali ndiye anayeweza kusema hayo uliyoyasema juu ya Kiingereza...
 
Kwa hiyo wanafata kiingereza huko[emoji16][emoji16][emoji16].

What if watoto wao wanapikuwa wame master kuongea kiingereza fasaha,huwaachisha shule hizo?
 
Umefanya nini huko kwenye sanaa!!!au ndio uko kwenye chuo cha sanaaa hapo UFIPA??
 
Nyie wote mnaojimwambafai hapa kutukuza Kiingereza tukiwaambia msimame hata kumuuliza swali fupi tu la Kiingereza Joe Biden mnaweza? Acheni porojo hapa! Kiingereza tunakijua sisi tulioanza shule kabla hata ya Uhuru wa Tanganyika! Kaeni kimya haraka!
 
Huyu mimi nilimuona akiwa Afisa elimu kule Singida; sijui kama ngeli inapanda sijawahi kumshuhudia! Mataga hawathamini intenational relations, they belive in living in AUTARKY hence kutema YAI sio muhimu!
Aiseee!
 
Hivi Rais Samia anaweza kweli kufanya mahojiano na vipindi kama BBC HardTalk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…